Katika hali ya kusikitisha ,kuhuzunisha na isiyokuwa ya
kawaida kijana mmoja mkazi wa kijiji cha Mwakuhenga wilayani Kahama
mkoani Shinyanga amemuua mama yake kwa kumkata na jembe kichwani na
kusababisha kifo chake.
Habari kutoka Kahama zinasema tukio hilo limetokea jana
majira ya saa mbili usiku na chanzo halisi cha tukio hilo bado
hakijajulikana.
Habari kamili kuhusu tukio hili tutakuletea kupitia kwenye blog hii
0 comments:
Post a Comment