Sunday, 16 February 2014

EBO! KAJALA ANATEMBEA NA CLEMENT?..WEMA SEPETU ASHUTUSHWA NA TETESI JUU YA KAJALA..SOMA ZAIDI KUJUA ,,,,,,,,,,,,,,,,,


MAKUBWA! Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ ameshtushwa na habari zilizoshika kasi mithili ya moto wa kifuu kuwa eti shosti wake, Kajala Masanja anatembea na Clement aliyemwagwa na staa huyo hivi karibuni.
Wema Sepetu.
Kuhusu ishu hiyo, Wema alifunguka mwishoni mwa wiki iliyopita: “Nampenda sana rafiki yangu (Kajala) na sitaacha...
“Hakuna kitu cha Kajala nisichokijua... watu wanaweza kusema chochote lakini namjua rafiki yangu.
“Ebo! Eti anatembea na Clement? Dah Wabongo... basi hata kama kweli angekuwa anatembea naye, kwa hiyo?
Kajala Masanja.
“Msijaribu kuharibu urafiki wetu, wakati hamjui tumetoka wapi mimi na Kajala...”

0 comments:

Post a Comment