Ni siku ambayo sito isahau. Siku amini macho yangu siku nilipokuta picha za nusu
uchi za rafiki yangu kipenzi Nancy kwenye simu ya mpenzi wangu Dany.
Picha zilitumwa watsapp na yeye mwenyewe Nancy kwenye simu ya
mchumba angu.
Nilipo muuliza alinijibu kwa ujasiri tu kwamba wamekuwa wakidate kwa
muda sasa, na huku akiongezea kwamba Dany is so sweet yani huyo
mchumba angu. Daaah Nifanyaje jamani. Naombeni USHAURI..!!
0 comments:
Post a Comment