Monday, 17 February 2014

KAMA BADO BASI PATA KUTAZAMA JINSI SHILOLE , QUEEN DARLIN NA MADEE WALIVYO IVURUGA IGUNGA SIKU A VALENTINE


Shilole na Madee wakiwadatisha wakazi wa Igunga kabla ya shoo ya Valentine's Day.
Shilole (kushoto) na Queen Darleen (kulia) wakisema na wana Igunga.
Shilole, wacheza shoo wake na Queen Darleen wakizidi kuwapa raha mashabiki kabla ya shoo yao usiku wa Wapendanao.
Wasanii Zuwena Mohamed 'Shilole' au Shishi Baby, Hamadi Ally 'Madee' na Queen Darleen waliwadatisha vilivyo wakazi wa Igunga mjini siku ya Wapendanao 'Valentine's Day' kabla ya shoo yao iliyofanyika Ukumbi wa Sakao uliopo Igunga Mjini.

0 comments:

Post a Comment