"SHE ROLL IT" AU SHILOLE |
SHILOLE AKIWA NYUMBANI KWAO IGUNGA KABLA YA SHOW LAST WEEKEND.. |
Hata hivyo Shilole ambae amekuwa na kawaida ya kuvaa nusu uchi akiwa stejini jambo ambalo mashabiki wengi wamekuwa wakichukizwa nalo na wamekuwa wakimuonya mara kwa mara kuachana na kuvaa nusu uchi kwa vile mashabiki wengi wanahitaji burudani na sio kuona maungo ya miili yake, lakini ameonekan kupuuza.
Xdeejayz ilimtafuta Shilole kupitia simu yake ya kiganjani ili azungumzie balaa hilo lililom kuta lakini kwa bahati mbaya hakuweza hadi habari hii inawafikia wasomaji wetu wenye kiu ya kujua habari na matukio yalijiri wikiend...
0 comments:
Post a Comment