Tuesday, 18 February 2014

UCHAWI NOMA:MWANAUME AJIKUTA AKIFANYA MAPENZI NA FISI BADALA YA MPENZI WAKE!!

Kwa jina anaitwa tony alibahatika kupata ajira akiwa na umri mdogo na alipangiw kufanyia kazi katika mkoa wa dodoma.akiwa dodoma alibahatika kupata
mpenzi kwa jina alikuwa anaitwa suzy kabila lake alikuwa ni mgogo ni msichana
aliekuwa akisifiwa sana kwa urembo wake mkoani hapo.
Walikuwa wapenzi kwa muda wa miaka miwili wakaenda kutambulishana kwa wazazi na hatimaye mipango ya kufunga ndoa ikawa imekamilika ikawa imebaki kama mwezi mmoja. bibi yake tony akaenda kumtembelea mjukuu wake tony hapo dodoma ilikuwa ni weekend suzy akaenda kulala kwa tony na bibi yake tony akiwepo ilipofika usiku bibi yake tony aligundua kitu fulani asubuhi yake alimwita mjukuu wake tony akampa pole na akamcheka sana! akamuuliza unaroho ya uvumilivu?tony akakubali ndio. bibi yake akamwambia chukua dawa hii utajipaka kwenye jicho la kulia kwa siri utakapokuwa umeanza kufanya mapenzi na mchumba wako.tony aliichukuwa ile dawa akaitunza ilipofika usiku akaandaana na mpenzi wake alipoanza kufanya mapenzi akaichukua ile dawa akajipaka kwenye jicho la kulia baada ya kujipaka dawa aliona anafanya mapenzi na fisi na mchumba wake suzy yupo pembeni mwa kitanda amelala alipoona hivyo alijichomoa kwa yule fisi akakaa pembeni kisha akamfuata mchumba wake akamwamsha na kumuuliza wewe ni wakunifanyia hivi? Kwa kweli suzy hakuwa na la kujibu haukupita muda bibi yake tony akawaita suzy na tony sebulen na kuanza kumkanya suzy suzy alikiri kuwa hajawahi kufanya mapenzi na tony hata siku moja siku zote tony alikuwa akifanya mapenzi na huyo fisi hivyo anaomba amsamehe!wadau tony yupo kwenye mtihani mkubwa anaomba ushauri afanyeje?

0 comments:

Post a Comment