Showing posts with label laana!. Show all posts
Showing posts with label laana!. Show all posts

Tuesday, 18 February 2014

AIBU KUBWAA..MREMBO AFUMANIA PICHA ZA NUSU UCHI ZA RAFIKI YAKE KIPENZI KWENYE SIMU YA MCHUMBA AKE....!FUATILIA ZAIDI HAPA...!

 
Ni siku ambayo sito isahau. Siku amini macho yangu siku nilipokuta picha za nusu
 uchi za rafiki yangu kipenzi Nancy kwenye simu ya mpenzi wangu Dany.
 Picha zilitumwa watsapp na yeye mwenyewe Nancy kwenye simu ya 
mchumba angu.
Nilipo muuliza alinijibu kwa ujasiri tu kwamba wamekuwa wakidate kwa 
muda sasa, na huku akiongezea kwamba Dany is so sweet yani huyo 
mchumba angu. Daaah Nifanyaje jamani. Naombeni USHAURI..!!

Monday, 17 February 2014

Biashara ya kusafirisha Mabinti yaibuka Iringa,,,,,,,,,,,,,,,,,Jioneeeeeeeeeeeeee,,,,,,,

mabinti

 Wanafunzi  waliodaiwa  kunusurika  kusafirishwa  hawa  hapa 
……………………………………………………………………

HUKU mkoa wa Iringa  ukiwa katika  vita  vikali  vya  kuwalinda  watoto  wa kike kutoka mkoani hapa kwenda mijini kufanyishwa kazi za ndani (uyaya) na katika madangulo ,watoto  wa kike wameendelea  kugeuka dili kubwa mkoani Iringa baada ya mwamake  mwingine mjini hapa kufikishwa mahakamani kwa tuhuma za kusafirisha  watoto wa kike  sita  kwenda  kuuzwa kwa ajili ya kufanya kazi za ndani mijini 

 

Kukamatwa na kufikishwa mahakamani kwa mwanamke  huyo kunaendelea kutishia usalama  wa watoto wa kike katika mkoa  wa Iringa  kutokana na wimbi hilo la usafirishaji  watoto wa kike kwenda mijini baada ya mwezi  huu mmoja kukamatwa  wanawake wawili kwa kujihusisha  na biashara  hiyo ya  watu.

 

Mwanamke  wa kwanza alikamatwa eneo la Frelimo akitaka kumtorosha  mfanyakazi wa ndani na kuishia kupewa kichapo kama adhabu  yake  ya  kufanya  biashara  hiyo ya  watu .

 

Wakati  tukio jingine ambalo linafanana na  hilo limetokea  mwanzoni mwa wiki  hii baada ya  mwanamke  mmoja  Bi Amina  Sanga (42) ambae ni mke wa aliyepata  kuwa mfanyabiashara  maarufu mjini hapa kujikuta  akifikishwa mahakamani kwa  tuhuma za  kutaka  kuwasafirisha  watoto sita  wa kike kwa ajili ya kwenda  kufanyakazi za ndani mijini.

 

Mwanamke  huyo ambae  alifikishwa  siku ya jumanne  wiki  hii mbele ya hakimu wa mahakama ya mwanzo Bomani mheshimiwa Alois Masua alipata  kusomewa  shitaka   hilo la jinai  namba 33 la mwaka huu .

 mabinti

Akisoma  shitaka  hilo hakimu Masua  alisema kuwa mwanamke  huyo mkazi wa Mgela  Iringa vijijini  anatuhumiwa  kwa kosa la kusafirisha  watoto  sita  wa kike ambao ni wanafunzi wa  kidato cha kwanza katika shule  ya Sekondari Mgela.

 

Kuwa mshitakiwa  huyo alikamatwa majira ya saa 10 alfajiri ya mwishoni mwa wiki  kutokana na mtego uliowekwa  na  wananchi wa eneo hilo.

 

Katika  kesi  hiyo mlalamikaji ni mtoto  Sophia Kitule kwa niaba ya  wenzake  watano ,mshitakiwa alikana shitaka  hilo na mahakama  hiyo kudai  kuwa dhamana yake ya kuwa na  wadhamini  wawili  kila mmoja akiwa na barua ya  dhamana ya Tsh milioni 1 na mali  isiyohamishika .

 

Hata  hivyo mshitakiwa  huyo alilazimika  kwenda mahabusu  hadi tarehe 12 ya mwezi  ujao  baada ya  wadhamini  wao  kukosa  sifu baada ya  kufika mahakamani hapo wakiwa mikono mitupu bila barua .

Saturday, 15 February 2014

TAZAMA HIYOOOOOO...!!! MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI AFANYA VITUKO JUKWAANI,




Wengi wetu tunaamini hii ni moja kati ya ishara za mwisho wa dunia, hebu fanya kujaribu kuiangalia picha hii kwa makini, hivi kweli unaweza kusema Wakristu wanaendelea kwa sababu dunia nayo inaendelea? Mwanamke huyu kweli anaweza diliki kusema kwamba anaishinda roho ya Mungu akiwa anafanya uchafu kama huu akiwa kwenye steji?

Hebu fanya kusoma habari hii chini....

Mwanamuziki mmoja wa nyimbo za injili nchini Kenya aitwae Size 8, ambaye hivi karibuni inasemekena aliokoka, usiku wa jana alinaswa na kamera akiwa anacheza na mwanaume huyu ambaye hakufahamika jina kwenye moja kati ya kumbi za starehe.

Alipoulizwa juu ya hili, mwanamuziki huyo alisema alichokuwa anakifanya ni kazi ya Mungu kwa kuongea na wanaume wenye matamanio.

Vyanzo vingine (Ghafla na Kenya Post) vilieza kwamba baadae muimbaji huyo alikuja kufanya ngono isiyo salama na jamaa huyo kwenye maeneo ya wazi, ila Size 8 alikanusha habari hiyo na kusema kwamba alikuwa amelewa kiasi. 

Je huu tuuiteje, kwamba ndio uokovu wa kisasa ama..?

Read more: http://http://mtanzaniablog.blogspot.com/

Thursday, 7 November 2013

WAKUBWA TUU...MISS UTALII NA MSANII WA BONGO MOVIE WANASWA WAKISAGANA...TAZAMA PICHA(+18)

 

Fathiya" Mrembo wa Facebook" na Suzi Magoti mshiriki kwenye filamua Ngema akimvua nguo mrembo huyo kuanza tendo.
Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kusikitisha matendo ya aibu kwa wasanii wetu yameendelea kushika kasi kama moto wa tipa baada ya blog hii makini kunasa picha nyingine za wasanii hawa wakusagana live bila chenga.
  Tumefanikiwa kupata picha hizi ambazo ni baadhi tu licha ya kwamba kuna CD nzima ya picha hizo tunazo kabatini na kuna taarifa kuwa pia kuna CD ya Viedo kabisa ambayo ndani yake kuna mambo ya kutisha.
tunakuahaidi siku mbili hizi itakuletea tuki hilo moja kwa moja kupitia blog hii pamoja na kuzimwaga picha hizo zaidi. Habari zaidi zilisema kuwa wasanii hao ambao mmoja alikuwa mshiriki Miss Utalii mwaka huu na mwingine ni staa kwenye filamu ya msanii Manaiki Sanga ambayo bado haijatoka na ndiye kwenye video hiyo anaonekana fundi wa kumbonyeza mwenzake.

Wednesday, 6 November 2013

WAPI TWAELEKEA??PICHA ZINGINE ZA UCHI ZA WAKINADADA ZAVUJA MTANDAONI



Msichana aliyefahamika kwa jina la Eliza akiwa katika picha za utupu alizopiga akiwa Hostel moja iliyopo maeneo ya
Kinondoni Mkwajuni ijulikanayo kwa jina la Kipepeo.