Monday, 17 February 2014

MAAJABU HAYA ..!! KAMA BADO BASI MTAZAME MREMBO MWENYE KIUNO CHEMBAMBA KULIKO WAREMBO WOTE DUNIANI...


Cathie Jung ana miaka 77 na ndiye mwanamke mwenye kiuno chembamba zaidi Duniani. 
 Yumo miongoni mwa watu kwenye kitabu maarufu cha kumbukumbu za Guinness worldHakika hii inashangaza kimtindo.

Cheki picha zaidi hapo chini...



0 comments:

Post a Comment