Fani
ya muziki na maigizo hapa nchini imekuwa ni chanzo cha kuporomoka
kwa maadili ya mtanzania.Hali hiyo inasababishwa na :
1.MAVAZI WANAYOVAA
2.KUCHEZA NUSU UCHI
3.KUFANYA MAPENZI CHOONI
4.KUPIGA PICHA ZA UTUPU NA KUZISAMBAZA MITANDAONI, NA
5. KUTOA VIDEO ZA X
1.MAVAZI WANAYOVAA
2.KUCHEZA NUSU UCHI
3.KUFANYA MAPENZI CHOONI
4.KUPIGA PICHA ZA UTUPU NA KUZISAMBAZA MITANDAONI, NA
5. KUTOA VIDEO ZA X
Uchunguzi
wa kina unaoendelea kufanywa na mtandao huu umebaini kuwa, kuongezeka
kwa wimbi la Picha za utupu au nusu utupu ni matokeo ya maovu na
uchafu unaofanyika ndani ya makundi haya ya sanaa ambayo hujiita "VIOO VYA JAMII"....
Hatua
za awali za uchunguzi huu zinaonesha kuwepo kwa kumbi za starehe hapa
nchini ambazo watu huingia na kucheza UCHI au wakiwa NUSU UCHI.
Mbali
na kucheza nusu uchi, tathimini inaonesha kuwa watu hutongozana na
kufanya mapenzi CHOONI au HADHARANI mithiri ya WANYAMA wa porini..
Zifuatazo ni picha zinazothibitisha uchunguzi wetu wa kutongozana na kufanya hadharani.....
ANATONGOZA.....
MCHEZO UNAANZA......
WANAENDELEA......
MCHEZO UNAENDELEA.....
TUNA
MENGI AMBAYO TUNAHITAJI KUYAWEKA HADHARANI BILA KUYAFICHA ILI
JAMII IJUE NA ICHUKUE HATUA KWA MANUFAA YA TAIFA LETU.....
KESHO TUTAKULETEA SEHEMU YA PILI YA UCHUNGUZI WETU.
0 comments:
Post a Comment