Naombeni ushauri wa hali na mali katika
hili , Siku kadhaa zilizopita hapa nyumbani kwetu tulifanya sherehe ya
birthday ya mtoto wetu kutimiza miaka mitano tuliwaalika ndugu wengi
hapa home kwa ajili ya sherehe hiyo, Mgeni mmoja wapo ni mdogo wa mume
wangu ambae alikuwa ametoka mkoani so alifikia kwetu, sasa siku ya
birthday katika sherehe hiyo tulikunywa sana kila mtu akawa safi mume
wangu pombe zilimzidi ilipofika saa sita usiku akaniaga anaenda kulala,
mimi nikabaki na baadhi ya ndugu tunakunywa, ilipofika saa saba nami
nikajikokota kwenda kulala, nikaingia chumbani nikajitupa kitandani bila
kuwasha taa mme wangu alinipokea kwa mahaba tukabinjuka, baada ya
kumaliza kiu kikanisha nikaamka niende kunywa maji ile kuwasha taa
nikakuta kumbe nilikosea chumba na niliye fanya nae mapenzi ni mdogo wa
mume wangu nae alizania nimemtunuku mambo basi hakufanya ajizi akanipa
dozi ya uhakika...Hichi kitu kinanisumbua akilini sana mpaka naona sina
raha je nimweleze mume wangu kilichotokea ili nipate amani ama
nitaharibu zaidi?
0 comments:
Post a Comment