Kutoka Mtandaoni:
Nchini
Uingereza kampuni moja ya kupambana na ubakaji wametengeza chupi maalum
AR VPL ili kuzuia ubakaji wa wakinamama lakini wakosoaji wa chupi hizo
wanasema zinawatia hofu wanawake kwamba vitendo vya ubakaji
vimeongezeka.
Chupi
aina za AR zimezinduliwa rasmi kwenye mtandao hivi karibuni (online)
kusaidia kufikisha ujumbe kwa rai wa Uingereza kwa haraka sana
Chupi
hizo zimekuwa zikikosolewa sana kwamba si suluhisho la ubakaji na
unyanyasi wa kijinsia kwa wakinamama na wasichana wadogo kwa sababu mtu
anaweza kupambana hata na kitu cha ncha kali na kuchana chupi hiyo
kwenye purushani ya kutaka kumbaka.
Kuundwa
kwa chupi hizo kunawapa wasichana wengi faraja ya kutembea usiku,
kusafiri peke yako, kwenda nje kwenye klabau za usiku.
Mradi
huo ulianzishwa na chama cha watetezi wanawake wa jiji la New York
(NYACK), New York ambao wanasema kuwa walifanywa utafiti kwa miaka
mitatu kabla ya kuja na aina za chupi hizo
0 comments:
Post a Comment