05:59
Madereva
wa daladala jijini Mwanza leo wameamua kugoma kutoa huduma
hiyo muhimu kwa jamii wakiishinikiza serikali kupandisha nauli
na kupunguza faini pindi wanapokamatwa na askari wa usalama
barabarani….
Baada
ya mgomo huo kuanza, abiria walimua kutumia Malori, baiskeli,
Toyo Kilimo na pikipiki kama njia mbadala ya kusafiria.
0 comments:
Post a Comment