Spika
wa Bunge la Wawakilishi Zanzibar, na Mbunge wa Bunge maalum la Katiba,
Pandu Amir Kificho (Pichani kushoto) akisalimiana na Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wakati walipokutana katika sherehe za
Muungano mjini Zanzibar hivi karibuni.
Kificho
ameibuka kidedea kwa kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa muda wa Bunge
Maalumu la Katiba, baada ya kuwamwaga wapinzani wake kwa jumla ya kura
393, huku wapinzani wake Magdalena Rwebangira na Mahalu, wakifungana kwa kupata kura 84 kila mmoja.
0 comments:
Post a Comment