Showing posts with label mapenzi. Show all posts
Showing posts with label mapenzi. Show all posts

Saturday, 22 February 2014

JE UNAZIJUA MBINU ZA KUMUACHA MKE MKOROFI....?? SOMA HAPA KUJUA..



Kuna wanaume ambao wametokea kuoa wanawake ambao wana tabia mbaya . ninaposema kuwa na tabia mbaya sina maana ya mwanamke kuwa Malaya, maana hiyo ni fasili rahisi ya tabia mbaya kwa watu walio wengi. Ninaposema tabia mbaya nina maana kwenda kinyume na matarajio ya mume na pengine hata kwenda kinyume na matarajio ya jamii. Mwanamke ambaye ana tabia kama ghubu, mdomo mdomo (mkosoaji), mtapanyaji wa mali, mpenda makuu na tabia nyingine za aina hiyo, ni mwanamke ambaye kwa kiasi kikubwa anaweza kumsababishia mume matatizo ya kimwili na kisaikolojia. Mwanamke wa aina hii anaweza hata kuathiri makuzi ya watoto na kuathiri uhusiano na mume na watu wengine waliyo karibu yake. Kama mwanamke wa aina hii ameolewa na mume mweledi ndoa inaweza isiyumbe sana, lakini hii ina mipaka na kiwango chake.

Kuna wakati matatizo haya huweza kufika mbali zaidi kiasi kwamba huanza kumwathiri mume. Mwanaume ambaye huchukua kila uamuzi unaohusu maisha yake kwa hadhari kubwa, anaweza kuendelea kuishi na mke huyu. Lakini mara nyingi kuendelea kuishi na mke huyu kuna maana ya matatizo zaidi kuliko ufumbuzi. Bila shaka mmeshawahi kusikia wanaume ambao wanalalamika kuhusu tabia mbaya za wake zao (hata hapa JF wapo wengi sana), lakini huku wakiendelea bado kuwa na wake hao. Ukiacha sababu ya kugawana mali, wanaume wengi huwa wanafikiria mambo mengi ambayo huwazuia kuchukua uamuzi wa kuachana na wake hao.

Nimeona itakuwa vizuri kuwaambia wanaume hawa kwamba, kama ndoa zao zimefikia mahali ambapo zinataka kuwatia kichaa, wakiwa na uhakika kwamba wake zao ndio wenye matatizo na sio wao, (hili inabidi waliangalie kwa makini) inabidi wafanye uamuzi kwa kujiangalia wao na watoto wao zaidi kuliko watu au vitu vingine. Baadhi ya mambo ya kuangalia ni haya:

1. Kuathirika kwao: wajiulize wanaumia kiasi gani kimwili na kisaikolojia kwa kuendelea kuishi kwao na wanwake hawa. Kama ni ghubu na kukosolewa, kunawaathiri kiasi gani,? Na kama ni utumiaji mbaya wa mali unawaathiri kwa kiasi gani? Kama athari za tabia mbaya alizo nazo mwanamke zinafaa kudharauliwa na mume anaweza kuzidharau ni vyema akafanya hivyo, na kuendelea na maisha. Na kama akiona kuzidharau tabia hizo itakuwa na maana ya angamio kwake na pengine mbaya zaidi kwa watoto, inabidi hiyo iwe ni sababu ya msingi kuachana na mke huyo.

2. Ndugu watasemaje: wanaume wengi hukwamia hapo. Kama wake zao wanaelewana vizuri na baadhi ya ndugu, au hata wazazi wao, wanaume hushindwa kutoa maamuzi wa kuwaacha kwa hofu ya kulaumiwa na kushangawa. Wakati mwingine mume huyu anaelewena sana na watu wa upande wa pili, yaani ndugu wa mke na hasa wazazi na pengine wote. Hiki nacho ni kikwazo kikbwa sana, kwani mume hufikiria jinsi atakavyoonekana kwa watu hawa, pale atakapoamua kuchukua uamuzi wa kumuacha mkewe.

3. Sifa moja nzuri: pamoja na kuwa na matatizo, kila binadamu anaweza kuwa na upande mzuri. Kama mwanamke huyu ana sifa fulani ambayo ni nzuri sana, tuseme ni mpishi hodari sana na mkarinu kwa wageni , au labda ni mwaminifu sana katika ndoa, mwanaume anaweza kukwama kutoa uamuzi kwa kudhani au kujidanganya kwamba huenda anaweza asipate mwanamke mwingine mwenye sifa kama hizo. Huku ni kujidanganya kwa sababu kila sifa aliyo nayo binadamu fulani, ya kitabia, ipo kwa binadamu mwingine hata kama siyo wengi.

Ukweli ni kwamba mwanaume anaweza kushindwa kumpa talaka mkewe ambaye anakaribia kumuuwa kwa matatizo yake kwa sababu ambazo mtu mwingine anaweza kuzishangaa. Lakini jambo la msingi kwa mwanaume kama huyu ni kujaribu kupima kwa makini, je hizo sababu zinazomfanya asite kuachana na mkewe huyu zina nguvu au maana kuliko maisha yake, hasa mwili na akili yake?.

Angalizo: Sishauri watu kuachana, lakini nashauri watu kujua kwamba ndoa zenye mashaka makubwa ni hatari kwa afya na maisha yao.

Wednesday, 19 February 2014

KAMA ULIDHANI MCHUMBA WA LULU NI MBABA BASI UMEPOTEA, MCHEKI HAPA NI KIJANA BUT ANA HELA MBAYAAAA

 
CREDIT : TUJIACHIE

Tuesday, 18 February 2014

YEEEEE...!!UTAMU WA MUA UKIKUTANA NA KIFUNDO SHTUKA JAMANI MTOTO WA KIKE EEH...





Leo wanawake wenzangu kwenye safu yetu hii pendwa nimewaletea mada moja nzito ambayo ukiiendekeza unavunja nyumba yako hivihivi unajiona.   

Hata kama kuna kisa kilichosababisha mgombane, usiruhusu hali hiyo itokee, mwanamke mwenzangu fahamu ugomvi ndani ya nyumba ni mgeni wa kuingia na kutoka, ni shetani huyu, usimruhusu kwako. 


Pia elewa mwanamke mwenzangu kuwa ndoa ni kifundo cha mua, unapoutafuna unakuwa mtamu, ikiwa wakati ule unapoutafuna na kuusikia kuwa ni mtamu ndiyo wakati wa raha na starehe katika ndoa.

Bata’ zote unazokutana nazo siku za mwanzo wa ndoa yako zinatakiwa kuendelezwa siku zote, mtaambiana tukale bata huku au kule.

Mnaweza kujikuta mnasema leo twende hotelini na mahaba yetu tukamalizie huko,  huo ndiyo wakati wa mua mtamu lakini kuna siku utakutana na fundo kubwa katika mua na siku hiyo utabaini mgeni katika ndoa yenu na si mwingine ni ugomvi.

Mgeni huyo ni kama fundo la mua. Ikiwa wewe utaruhusu huo ugomvi uendelee kwa muda wa mwezi, je ndiyo utamnyima mumeo unyumba kwa siku zote hizo? 

Dini zote mbili kunyimana unyumba ni dhambi. Lakini hata kisheria ni kosa kubwa sana. Je, unataka mumeo aende wapi? akapate burudani kama atakayopata kwako wewe mkewe kwa nani?

Kama mwezi mzima wewe utakuwa ‘unamchunia’ eti kwa sababu amekuudhi na hutaki kurudisha mapenzi na kumsamehe mumeo kosa linalosameheka unadhani atafanya nini? 

Kumbuka kuwa hakuna kosa lisilosameheka kwenye ndoa na ulishakula kiapo kanisani au kwa shehe kwamba mtavumiliana kwa shida na raha. Vitabu vitakatifu pia vinasema msamehe aliyekukosea sabamara sabini!

Wanawake wenzangu mpo wengi wenye tabia hizo, mwanaume akikukosea kidogo tu fimbo ndiyo hilo la kumnyima unyumba. Ndoa tamu bibi, asikwambie mtu. Watu wanakesha wakizitafuta ndoa kwa waganga, makanisani na misikitini. Wengine hospitali kwa kusafisha vizazi, wewe umepata halafu unaichezea? Acha hizo.

Leo mumeo unampa adhabu hiyo, atabebwa juu kwa juu huyo! Atakwenda kutafuta burudani nje utapata faida gani? Halooooo shauri yako, utakuja kuchekwa Heheeeeee, utalijua jiji! 

BAADA YA HUDDAH KUANIKA PICHA AKIWA NA MUSTAPHA KI MAHABBA ZAIDI, PREZZO AIBUKA NA KUZUNGUMZA MAZITO..SOMA HAPA KUJUA ALICHOSEMA

The love triangle involving CMB prezzo,Colonel Moustapha and Huddah monroe is one that has left many of their fans wondering what the hell is going on between the three but at the same time one that has got social media wild.After breaking the news of his relationship with Huddah, Moustapha sent a warning to CMB Prezzo asking him to keep off his sweetheart. He referred to Prezzo as a ‘weak’ man who did not know how to treat a beautiful woman.
Today, the self proclaimed King of bling-bling CMB Prezzo responded to Moustapha in a very intelligent manner. He said he did not have time ‘for monkey business’ and thus rubbished Moustapha as a low life who want to gain popularity by getting involved in a ‘beef’ with him.
  After breaking the news of his relationship with Huddah, this is what Moustapha said:- “I am madly in love with Huddah. She is the ultimate definition of romance. I wonder why Prezzo wasn’t maintaining her well. Besides, I could not get such steamy love from Marya,”  

“Hii ndio kifo ya Azonto (this is the end of the great one). Whoever can’t stand it can go ahead and commit suicide,” he mocked.  
Huddah on the other hand has not yet said anything about the whole saga.-Crazyafricans

YAFAHAMU MAMBO YANAYO MSUMBUA MOYONI MSANII LINNAH SANGA..SOMA HAPA NIKUJUZE

Chanzo cha habari hii klipata nafasi ya kuongea na msanii linah sanga na haya ndiyo mambo matano yanayomuumiza hadi leo
1. “nilivyosikia boyfrend wangu amenidanganya nilijisikia vibaya, unajua ni mtu ambaye sikutegemea kabisa. Tupo pamoja miaka yote na yupo so sweet kwangu lakini sikutegemea jinsi nilivyosikia eti ana-cheat baada ya mambo yote tuliyopitia,kwakweli zile taarifa zilinifanya niwe down sana”


2. “Nilivyokua form four majibu yalivyotoka , unajua mimi nilikua na plan za kusoma na kufika mbali.Sometime nakumbuka matokeo yalinifanya nisiwe na raha kabisa na kuna wakati mambo ya muziki yakienda vibaya najuta sana nakumbuka zile siku”

3. “Hadi sasa nafanya kazi ya muziki but i’m not happy kwasababu najua nawaudhi wazazi wangu. wazazi wangu wanatamani siku moja nirudi kundini (kanisani) lakini sasa mimi nafanya muziki in a good way na bado naendelea kua binti mzuri kwa wazazi wangu”

4. “Niliwahi kum-date mtu ambaye hakuwa sawasawa kama binadamu wa kawaida. yule kaka alikua na miaka 24 na mimi nina miaka 15 kwa wakati ule na historia yake huko nyuma alipitia mambo yakishirikina akawa kama msukule. kipindi kile kilikua kigumu sana kwangu”

5 . “Niliwahi kuumwa sana na kukaribia kua chizi kutokana na mahusiano . sehemu pekee niliyoponea ilikua ni kanisani kwa maombi ya muda mrefu sana.siwezi kusahau kipindi kile na hadi leo namshukuru mungu kwa kupona.”

NAOMBENI USHAURI: BOYFRIEND WANGU ANATAKA TUFANYE MAPENZI WAKATI MIE BADO BIKIRA, NIFANYEJE...??

Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 23,naishi kigamboni,nimemaliza chuo mwaka jana.Nina Tatizo linanisumbua,nashukuru Mungu nimeweza kuvumilia kwa muda mrefu bila kulala na Mwanaume.Nimeweza kuhifadhi zawadi nzuri yenye thamani kubwa ambayo kwa mwanamke mwenye Heshima zake anastahili awe nayo kwa ajili ya kumpa mume wake baada ya kufunga Ndoa(namaanisha kuwa mie bado bikra).

Tatizo Linalonisumbua ni kwamba kila muda Boyfriend wangu ananisumbua anataka nifanye nae mapenzi,nikimnyima anasema kuwa simpendi,na kiukweli mi nampenda tena sana,na ninajisikia vibaya ninapomuona mpenzi wangu amenuna amekosa furaha,Kwani hakuna Njia nyingine ya kumfanya aniamini kuwa nampenda bila kufanya nae mapenzi? Ninachotaka mimi Nimpe Penzi kwenye Usiku wa Fungate kama Zawadi Special kwa ajili yake lakini Naogopa nikiendelea kumnyima nahisi ataniacha au atanisaliti akapate ninachomnyima kwa wanawake wengine,Naombeni Ushauri Nifanyeje?


Monday, 17 February 2014

Mke Aambulia Kichapo cha Mbwa Mwizi mara baada ya kumwomba Mumewe hela ya Dawa..! Jioneeeee,,,,,,

Picha sio ya Tukio husika
Sumbawanga. Mwanamke mmoja mkazi wa Kijiji cha Mnyamasi, Wilaya ya Mpanda mkoani Katavi, Tatu Mihambo (20) amejeruhiwa vibaya baada ya kupigwa na mumewe kwa fimbo na kisha kumwagiwa maji ya moto kwa madai ya kukasirishwa na kitendo cha kumuomba fedha ya matumizi.
Taarifa zilizopatikana zinaeleza kwamba, tukio hilo la ukatili wa kijinsia lilitokea juzi, saa 7 mchana, nyumbani kwa wanandoa hao kijiini hapo ambapo inadaiwa kuwa mwanamke huyo ni mke wa pili wa Juma Masasila aliyefanya kitendo hicho.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Katavi, Dhahiri Kidavashari alisema siku ya tukio, Tatu alimtaarifu mumewe kuwa anajisikia kuumwa na kichwa hivyo alimuomba fedha ili akatafute dawa ya kupunguza maumivu.
Alisema kitendo hicho kilimkera mumewe na ndipo alipomueleza mkewe kuwa, ukoo wao huwa hawatumii dawa zinazouzwa kwenye maduka ya dawa na kumtaka akatafute dawa za miti shamba sambamba na kwenda haraka shambani kufukuza Tumbili wasile mazao.
Kidavashari alieleza kuwa Tatu alitii agizo hilo la mumewe la kwenda shamba kulinda mazao huku kichwa kikiendelea kumuuma.
Alieleza ilipofika saa 12.00 jioni, Tatu alirejea nyumbani huku akiwa na maumivu makali ya kichwa na alimsisitiza mume wake aende dukani kumnunulia dawa.
Badala ya mumewe kwenda kumtafutia dawa dukani alianza kumshutumu mkewe kuhusu upotevu wa panga.
Mkewe alikataa madai hayo na majibu hayo yalimkera mtuhumiwa aliyeanza kumshambulia mkewe kwa fimbo na kisha alichukua maji ya moto na kumumwagia mkononi na kwenye makalio .
Inaelezwa kuwa Tatu aliendelea kuugulia maumivu yake akiwa nyumbani bila kupata matibabu yoyote na vidonda kuanza kutoa harufu ndipo mume aliposhtuka na kumpeleka kijiji cha jirani cha Lwafi kwa ajili ya matibabu ya dawa za kienyeji.
Inasemekana walipofika kijijini hapo watu walishtushwa na hali ya mgonjwa huyo na kumuhoji mtuhumiwa aliyewadanganya kuwa alianguka kwenye mti wa ukwaju, lakini mkewe aliwaeleza ukweli na ndipo walipoanza kumshambulia.
Kamanda Kidavashari alisema, baada ya muda taarifa ziliwafikia polisi na walifika katika eneo hilo na kumkamata mtuhumiwa huyo na walimchukua Tatu na kumkimbiza katika Hospitali ya Wilaya ya Mpanda ambako amelazwa akiwa anaendelea na matibabu huku hali yake ikiwa mbaya na anaongea kwa tabu.

Msanii Anaswa Akilazimisha Penzi kwa Babu Kizee….Kweli Njaa Mbaya Jamani.jioneeeee.,,,,,


MSANII
Msanii asiyekuwa na jina kubwa nchini YUSTER NYAKACHAKA ameitia aibu familia yake pamoja na watanzania kwa ujumla kufuatia kufumwa akilazimisha penzi kwa babu wa kizungu mbae ni sawa na babu yake wa kuwazaa wazazi wake, na inasemekana amezaa nae watoto wawili kwa kulazimisha.
Xdeejayz ambayo imenasa picha hiyo ambayo ilirushwa na msanii huyo akiwa na babu huyo anaekadiliwa kuwa na umri wa miaka 62 na walionekana kupiga siku ya wapendano.
Hata hivyo kwa mujibu wa watu wanamfahamu msanii huyo walisema kuwa amekuwa akimrubuni babu huyo wa kizingu anaefanyakazi kwa mkataba kwenye kampuni moja iliyopo Masaki Jijini Dar huku akijaribu kumpagawisha kwa kutoa penzi kinyume na maumbile japo mzungu huyo achanganyikiwe na kuisahau familia yake iliyopo ughaibuni lakini wapi.
Aidha kwa mujibu wa mtu mmoja ambae anamfahamu dada huyo toka akiwa mcheza ngoma hadi kuwa muigizaji amekiteka vilivyo kizee hicho ambacho hata wazazi wa muigizaji huyo wadogo na humuamukia shikamoo hali inayowakosesha amani wazazi wake.
MSANII
 
Aidha tabia ya dada zetu kutembea na vibabu vya kizungu imeendelea kushamili kila kukicha na hivi karibuni msanii Shilole ambae aliopoa mzungu mtaani na kumtangaza kama mchumbaake kumbe baadae taarifa zikavuja kumbe mzungu huyo ni bwabwa anahemewa kisongoni hali ilimpa hasara msanii huyo.
Taarifa zilizotua mezani kwa Xdeejayz zinasema kuwa msanii huyo licha ya kibabu hicho kumpatia kila kitu lakini amekuwa akijihusisha kimapenzi na mwanamuziki mmoja wa bolingo ambae ni raia wa Kongo jina linahifadhiwa lakini itakapobidi ataanikwa hewani

WANAUME VIJANA 20'S-30 MNABOA SANA...HAMTUFIKISHI MNATUPAKA VUMBI TU ..................


Utakuta umempenda kijana mwenzako aaa kwa mapenzi kabisa unampa gemu kwa kujua atakushusha mlima kitonga mwisho wa siku unaambulia kubakizwa na vumba tu!!!
Jamani inakera sana vijana fanyeni mazoezi,mle vyakula vizuri chips yai na mikate asubuhi zinawaharibu mbona wakubwa miaka 40's na kuendelea wanatufikisha
Nimefanya resercha yangu wababa 3 vijana 3 ila kwa kweli wababa wanajua jamani tuwape hongera sasa nyie vijana sijui tatizo ni nini?sijui vyakula,sijui haraka,sijui stress za maisha hamko stable.
Huku mjini kuna wamama wanauza mihogo mibichi na matango muwe mnanunua kidogo zinasaida pia mule korodani za jogoo.
Itakuwa mnatuoa nyie ila starehe tunazipata kwa wababa.HIYO NI KAULI YA MDADA MMOJA ALIEACHIKA KATIKA NDOA  JE? INAUKWELI NDANI YAKE TOENI COMMENT ZENU

ZINGATIA USIKULUPUKE:HIZI NDIZO HATUA ZA KUFUATA BAADA YA KUACHANA NA MPENZI WAKO

Kamwe usithubutu kumshusha thamani mwenzi wako wa zamani. Maneno kama ‘alikuwa hanitoshelezi’ na mengine yenye sura ya kumponda hayana nafasi. Maisha yanaendelea, usipoteze muda wako.

Una mengi yanayohitaji utekelezaji wako. Muda wa kumchukia mwenzi wako wa zamani na ule wa kufanya shughuli kwa ajili ya maendeleo yako, utaupanga vipi?
Watu wengi wamekuwa kama mandondocha kwenye mapenzi yao kutokana na tabia ya kushindwa kuchanganua busara za kuachana. Wanakimbilia kuchukia, matokeo yake wanateseka.

Mantiki ya kumchukia mwenzi wako mliyeachana ni matokeo ya kushindwa kuchukulia hali ya kutengana kwenu kama ya kawaida. Unadhani ni tukio kubwa, hivyo unaupa mzigo mzito moyo wako.


CHUKUA MFANO HUU:
Amos anampenda sana Catherine lakini anajua fika kwamba mwenzi wake hajatulia. Hata hivyo anashindwa kujipanga kuchukua hatua muafaka.

Amos anakuwa mtu wa kulipuka, akiudhiwa na mwenzi wake anatangaza kuachana naye bila kutafakari mara mbili. Haishii hapo, anaamka na chuki mtindo mmoja, hata akimkuta barabarani hamsalimii.

Je, hiyo ni dawa? La hasha, kwa kawaida chuki yako itakupeleka katika mawazo mengi. Utamkumbuka kwa mabaya yake lakini hutaishia hapo, utaanza kuyaona mazuri aliyokufanyia.
Ni kipindi hicho ambacho utaanza kuumia zaidi. Utatamani yale mazuri yake. Inawezekana ukakosa aibu na kujikuta wewe mwenyewe ndiyo unaomba msamaha mrudiane.

Ukiwa na chuki na mwenzi wako, maana yake hisia zako bado zipo kwake. Akija kuzungumza na wewe ni rahisi kumsamehe bila kuzingatia uzito wa kitu alichokufanyia.
Nakusisitiza kujua kwamba kinyume cha mapenzi siyo chuki. Ni kutojali (kupotezea). Yaani unapokosana na mwenzi wako, usianze bifu, badala yake anza kumpotezea na usimjali kwa chochote.

Unahitaji kuwa huru na hisia zako. Unapoamua kuacha basi simamia uamuzi wako. Ukizingatia mambo yafuatayo, yatakupa msaada mkubwa wa kuvuka kipindi kigumu cha kuachana na mwenzako.

1. Mara unapoachana na mwenzi wako, jitahidi kadiri uwezavyo kuhakikisha unasitisha mawasiliano naye. Iwe kwa simu, ana kwa ana na mengineyo.

2. Acha kukaribisha hisia kwamba ipo siku wewe na yeye mtarudiana. Amini kuwa hiyo imetoka jumla, kwa hiyo fanya mambo yako, huku ukiamini kwamba mwenzi wa maisha yako anakuja.

3. Fanya mambo chanya kama vile kujifunza vitu vipya, kuongeza ujuzi, kufanya kazi kwa bidii, kujitolea kwa ajili ya watu wengine, kutoa misaada na kufanya mazoezi ya viungo.

Ukiyafanya haya yatakuwezesha kuondoa mawazo hasi kwa mwenzi wako mliyeachana na kuzingatia vitu vya msingi ambavyo vinahusu ujenzi wa maisha yako ya sasa na ya baadaye.

MUHIMU:
Achana na hulka za chuki kwa mwenzi wako wa zamani. Tangu ulipokuwa mdogo mpaka sasa umekutana na marafiki wangapi ambao wengine leo hawamo kwenye kumbukumbu zako?

JEWAJUA KWA NINI UKE WA MWANAMKE WAKATI WA KUFANYA MAPENZI HUKAUKA,,,,,,,SOMA HAPA KUJUA,,,,,,,,,,,,

Swala la kukauka kwa uke mara baada ya mwanake kufika kileleni ni la kwaida kwa wanawake wengi na huwa na sababu mbali mbali ambazo mimi nitakutajia kwa kifupi tu kamaifuatavyo:-

1-Mwanamke huitaji kunyegeshwa tena baada ya bao la lake la kwanza, inategemea lilipopatikana kama kwenye Kipele G, Kwenye Kisimi, Mwisho wa Uke au kuta za uke. Ikiwa amepata bao "via" kisimi hapo lazima atahiji muda kidogo wa kupumzika kama dakika kumi 5+ kisha wewe mpenzi wake ni wajibu wako kumnyegesha tena kwa kucheza na sehemu nyngine za mwili wake mbali na Kisimi. Inaweza kuwa kum-busu, kumla denda huku unamshika-mshika na kadhalika.
2-Mwanamke kuwa na uwezo mdogo wa kungonoana (low sex drive/libido) ni wazi kuwa hamjuani hivyo yawezekana yeye yuko hivyo na mara baada ya wewe kupiga bao la kwanza ksiha kurudi na "kumpigisha" yeye bao lake ndio ilikuwa mwisho wa "game" mpaka kesho au labda wiki ijayo kama sio mwezi mwezi ujao. Kama ulihitaji tena kwenda basi ulitakiwa kumfaya aendelee kuwa "interested" kiakili nakimazingira zaidi ya kimwili na pia ungepaswa kutumia kilainisho kwa ajili ya Condom au hata K-Y Jel.
3-Mwanamke kutokuvutiwa na ufanyaji wako, kama ulivyosema kuwa ilikubidi uache nje-ndani, swala l a kungonoana ni pana na sio kusimamisha kisha kupiga nje-ndani mwanzo mpaka mwisho.
 Kuna wanawake kibao baada ya kibaruti cha kwanza inabidi uanze upya kuwatuliza a.k.a kuwa NYEGELESHA. Dawa yake kwa wengi usikazanie NJe ndani Nje ndani sana kama ushambarutisha tayari. Cheza sindimba au msondongoma katika mduara bila kuvuta filimbi nje wakati unaASALISHA mambo mengine!Baada yamuda kadhaa wakati unahisi au unasikia pumzi fulani ndio endeleza pupa kama navyohisi unafanya.Hii hasa kama unacheza mkao wa kimishenari.
4-Mwanamke kutokuwa na mapenzi pia inaweza kuwa sababu ya Uke wake kuwa mkavu mara baada ya zile nyege mshindo kumalizika/kumtoka (baada ya yeye kufikia Mshindo), mwanamke kama hana mapenzi huishiwa hamu ya kuendelea kungonoka haraka sana mara tu baada ya bao lake la kwanza.
5-Kuchoka au Uvivu, mwanamke kama kachoka au mvivu hali hiyo ya ukavu ukeni hujitokeza kwa vile akili yake inakuwa haipo/haizingatii kilekinachofanyika bali saa ngapi atapata nafasi ya kwenda kulala/pumzika.
Condom huwa hazisababishi Uke kukauka tena japokuwa inashauriwa kubadili au kutumia kilainisho kilichotengenezwa kwa ajili hiyo. Makampuni mengi ya bidhaa hzi yanatoa mafuta maalum kabisa kwa ajili ya kukuongezea ile hali ya ulaini amabo unakulinda wewe kwa kuzuia Condom kupasuka/chanikakutokana na ukavu wa Uke na vilevile kumuongezea mwanamke raha ya tendo.
Condoms hazimsababishii mwanamke maumivu bali ile hali ya wewe kumfanya mwanamke mwenye uke mkavu kwa muda mrefu ndio inasababisha maumivu.Ili ufurahie Ngono basi ni vema ukatafuta mwanamke mmoja umpendae na yeye akupende na mfanye tendo kwa ushirikiana na kumbuka ku-focus kwenye kufurahia tendo zaidi kuliko kupiga mabao na mambo yatakuwa bomba kabisa.

HALLOOOOOOOOOOOW!!!!!!!!!!,,,,,,,,,, SCENE HII YA MAPENZI YA RAY NI KIBOKOO..!!JIONEE MWENYEWE HAPA..


Imekuwa kawaida kuwa scene za mapenzi kwenye uigizaji wa filamu za kibongo na duniani kwa ujumla kufanywa vizuri kuliko zote. Ila sidhani kama kuna mtu ambaye ni mpenzi wa bongo movie na hafahamu uigizaji wa Ray akiwa katika kipengele hicho. Ila licha ya yote kama ulikuwa hujapata kufahamu basi hakika scene hii ndio iliyokuwa ya utata sana kuliko zote zilizofanywa na msanii huyu Vicent Kigosi 'Ray'...! 
  Cheki picha hapo juu....

JE WAJUA,,,,,,???????,,,,OKOA NDOA YAKO NA PENZI SASA.!!! HAYA NDIYO MAMBO MADOGO YENYE THAMANI KUBWA KWA MPENZI WAKO..SOMA HAPA KUYAJUA


KUNA mambo ambayo yanaweza kuonekana ya kawaida tu au si ya lazima sana lakini kumbe yana uzito na thamani kubwa sana kwenye uhusiano. Wengi wakitaka kufanya jambo la kumfurahisha mpenzi wake, huwaza katika ukubwa.Wapo wanaofikiri labda kwa kutoka na mwezi wake kwenda naye kwenye hoteli kubwa ya kifahari ya nyota tano na kulala kwa usiku mmoja lina thamani kubwa. Pengine wapo wanaofikiri kuwa, kuwanunulia wenzi wao vitu vya thamani kubwa kama cheni ya dhahabu, gari n.k ndivyo vyenye thamani pekee!
Si kweli. Ni ukweli usio na shaka kwamba, mwanamke anapenda kufanyiwa vitu vyenye thamani na mwanaume wake. Ukweli unabaki kuwa, wakati mwingine unaweza kuwa unatamani kumfanya mwenzi wako awe na furaha muda wote lakini mfuko wako ukawa hauruhusu! 

USISAHAU KUUNGANA NASI KWA KULIKE PAGE YETU HAPA

 Hulka ya wanawake wengi ni kutamani kuona mwenzi wake anamuona ni mtu muhimu na anakuwa naye karibu muda wote. Wanawake hawajali sana vitu vya thamani kama wanaume wanavyofikiri.
 Kumkumbatia mwanamke na kumbusu katikati ya midomo yake, ukisindikiza na maneno matamu ni zaidi ya gari utakalomnunulia – kikubwa hapa, mwanamke huyo awe kweli ana upendo nawe na si kuwa yupo kibiashara! 
 Katika mada hii, nimekuandalia vitu vichache ambavyo kwa hakika, kwa mujibu wa utafiti nilioufanya, ni ‘sumu’ kwa wanawake.
 Ukifanya vyote au sehemu yake, unamfanya mwanamke wako ajihisi yupo katika mikono salama.
 Bado thamani ya mali na vitu vingine vitabaki katika uhalisia wake, lakini kwa hakika mambo yafuatayo hapa chini, huwachanganya sana wanawake. 
 KADI
Ni utaratibu uliozoeleka sana kipindi cha nyuma kidogo. Sasa hivi teknolojia imeongezeka, kadi inaweza kupatikana hata kwenye mitandao mbalimbali ya internet. Hata hivyo, bado inaonekana kuwa mwanamke anapenda na anatamani kuona mwanaume wake anamkumbuka kwa kumtumia kadi. 
 Wanaume wengi ni wavivu, lakini kwa sababu ya ustawi wa penzi lako, jaribu hili. Nunua kadi yako yenye ujumbe mzuri, andika maneno mengine kwa mkono wako mwenyewe, pulizia manukato unayotumia, kisha mtumie/ mpelekee mpenzi wako. Utakuwa umemroga! 
 NYIMBO, MASHAIRI
Wanawake wanapenda sana kufahamu kuwa kweli alipo anapendwa. Nyimbo nzuri za mapenzi ambazo zitaeleza uzuri wake na namna unavyompenda na kumthamini, vinazidi kukuweka katika kilele cha umiliki uliotukuka.
 Mchagulie mpenzi wako wimbo redioni, taja jina lake, lako na ujumbe wako. Utamfanya ajisikie fahari sana. Mashairi katika magazeti mbalimbali na majarida pia huongeza ladha ya mapenzi.Anachojali mwanamke ni ile hali ya kuona kuwa, unampenda na unaweza kuthibitisha hilo hata mbele ya watu wengine. Kusikia akitajwa redioni au ameandikwa gazetini ukionyesha hisia zako za kumpenda, kutamchanganya na kumfunga kabisa hisia za kufikiri kukusaliti.
Tatizo wanaume wengi hawatilii maanani haya mambo lakini kama unataka kuwa dume la mbegu kwa mwanamke wako, jaribu uchawi huu.

HII NDIO SAIZI YA UUME INAYOPENDWA ZAIDI NA WADADA SOMA HAPA KIDUME NIKUJUZE.....!!!



JAMANI NAOMBEN TUSAIDIANE KUWATOA SHAKA HAWA WENZETU WANAO JIHISI KUWA NA UUME MFUPI KWA IMEKUWA KAWAIDA HUMU JAMVINI WATU KUTAKA DAWA ZA KUONGEZA UUME INGAWA MIMI NAHISI KINACHO WATOA KUJIAMINI NI PAMOJA NA 

1.KUANGALIA PICHA ZA NGONO HASA ZA USA
2.KUJIFANANISHA NA NDUGU JAMAA NA MARAFIKI
3.KUJITATHMINI HASA UUME UKIWA UMELALA
4.KUSHINDWA KUTUMIA BAADHI YA STYLES ZA MAPENZI

HAYO NI BAADHI INGAWA NAHISI KUNA WATAALAMU WATALETA MENGI ZAIDI 

TUKIANZA NA LA KWANZA WATU WENGI HASA VIJANA WAMEKUWA NA TABIA YA KUPENDA KUTIZAMA VIDEO ZA NGONO KITU AMBACHO KINAWAFANYA KUJIONA WANA SIZE NDOGO KWA KUJILINGANISHA NA WACHEZAJI WA VIDEO HIZO



HILO LA PILI WATU WENGI HASA VIJANA LADBA AKIMUONA KIJANA MWENZIE ANA UUME MKUBWA ,,TAYARI YEYE ANAANZA KUJIHISI ANA UUME MDOGO NA ANASAHAU KUWA HATA HUYO ALIYE MUONA ANAWEZA KUWA NA UUME MKUBWA KUTOKANA NA MAUMBLE YAKE

HILO LA TATU WENGI HUINGIA WASIWASI HASA WAKIJILINGANISHA NA WENZAO LABDA WAKIWA BAFUNI HASA KWA WANAO SOMA HOSTEL WAKATI UUME UKIWA UMELALA , LAKINI KUMBE WANAUME WAMETOFAUTIANA KUNA WENGINE UUME UKIWA UMELALA UNAKUWA MKUBWA NA UTAKAPO SIMAM UTAONGEZEKA KIDOGO SANA LAKINI PIA KUNA WALE AMBAO UUME UKIWA UMELALA UNAKUWA MDOGO SANA UNAEZA SEMA WA MTOTO LAKINI UKISIMAMA UNAFIKA SAWA NA ULE AMBAO ULIUONA MKUBWA KABLA NATENA WAWEZA KUWA ZAIDI HIVO HILO LIWASIPE SHAKA.

HILO LA NNE VIJANA WENGI LIMEWATOA KWENYE MOOD HASA WAKIWA NA WAPENZI WAO HII HUTOKANA NA BAADH YA WANAWAKE LADBA ANAEZA KUJIEKA STYLE AMBAYO INAHITAJI UUME MREFU KIDOGO KUIFIKIA HII HUTEGEMEA NA UMBILE LA MWANAMKE PIA.NA HASA WANAWAKE WANENE NA WENYE MAKALIO MAKUBWA KUNA BAADHI YA STYLE HUWA NI NGUMU SANA KWA WANAUME WENYE UUME WA KAWAIDA KUZITUMIA,HIVYO INATAKIWA PIA UZINGATIE HILO,JUA UMBO LA MKEO LIPOJE ILI UJUE NI STYLE GANI ITASAIDIA KUFANYA DEEP PENETRATION 

SASA KUHUSU NI SAIZI GANI INATAKIWA ANBAYO NI AVERAGE HILO NAOMBA WADAU WACHANGIE INGAWA MIE NIJUAVYO NI approximately length of a 5.5 to 6.3 inches (13.6cm to 16cm) and girth au unene ranging between 4.5 to 5.1 inches(12-13cm) .

hivyo basi kama hujui kujipima, suburi uume usimame then pima kuanzia pale unapo anzia upande wa juu hadi mwisho wa kichwa ili kupata urefu na zungusha tape yako katikati ta uume ili uweze kupata unene ,then ukiona unarange vipimo hivyo huna haja ya kutafuta madawa jiamini kwamba uko normal na mambo

JE WAJUA KWANINI WANAUME WENGI WANAPENDA WANAWAKE WENYE MAKALIO MAKUBWA??? SOMA HAPA KUJUA SABABU HIZOOOOOO,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,


NI matumaini yangu muwazima na mlikuwa na wakati mzuri katikakumalizia weekend. Mimi niko poa kabisa tayari kuliendeleza libeneke la kupeana mambo mawili matatu kuhusiana na maisha yetu ya kimapenzi.
Mada ambayo nataka kuizungumzia leo ni juu ya sababu za baadhi ya wanaume kupenda au kudatishwa kimahaba na wanawake wenye makalio makubwa.
Katika siku za hivi karibuni, tumeshuhudia idadi kubwa ya wanawake wakitumia njia mbalimbali kuhakikisha wanakuwa na makalio makubwa. Wapo ambao wamekuwa wakitumia dawa za Kichina licha ya kuelezwa kuwa zina madhara.
Ukijaribu kuzungumza nao, wengi wanasema wanatafuta soko kwa wanaume wakware. Wanaosema hivyo ukiwafuatilia ni wale ambao wamekaa kibiashara zaidi. Yaani wapo sokoni kuwinda wanaume. 
Lakini sasa inafika wakati kila mmoja anajiuliza, ni kipi kinachowavutia wanaume wengi kwa wanawake waliofungashia ambacho hakipo kwa wanawake wembamba?
Tunataka kusema wanawake wenye ‘mizigo’ wana soko kubwa kuliko wembamba? Sitaki kwenda huko kwa leo kwa kuwa kuna makabila ambayo mwanaume mwenye kalio kubwa na mahari yake inakuwa kubwa kuliko mwenye nalo dogo.
Ninachotaka kukiweka wazi hapa ni sababu za baadhi ya wanaume kupenda kuingia kwenye uhusiano wa kimapenzi na wanawake waliojazia. Hizi nimezipata baada ya kuongea na baadhi ya wanaume.  

Kusaka umaarufu/sifa Katika hili inadaiwa baadhi ya wanaume wanapokuwa na wapenzi wao waliojazia hujihisi wako juu kwa wenzao. Ndiyo maana unaweza kumsikia mwanaume akijisifia ‘niko na mzigo wangu hapa, si mmecheki kifaa’. Maneno hayo yanaashiria kuwa baadhi ya wanaume wanapokuwa na wanawake waliojazia, wanaona fahari kusifiwa na wanaume wenzao. Yaani hilo tu mioyo yao inafarijika. Kile kitendo cha kila wanakopita kuacha gumzo wengi wanakifurahia. 
Hofu ya kukimbizwa mchakamchaka 
Wanawake wenye ‘mizigo’ wanatajwa kudatisha wanaume sana kimahaba lakini baadhi yao wanadaiwa kuwa dhaifu kwenye uwanja wa kujidai. 
Iko hivi, baadhi ya wanawake wembamba wanadaiwa kujifanya ni watundu sana. Wanatumia muda mwingi kukukuruka kitandani ili waonekane wanayajua mambo.
Baadhi ya wanaume hawapendi hivyo na wanahofia kukimbizwa mchakamchaka faragha na ndiyo maana wanaona ni bora kujichukulia mizigo. Ila ni ukweli kwamba kuna mademu wengine waliojazia ambao ni noma.

Urahisi wa kupata stimu 
Wanawake wanene wana joto sana, miili yao inadaiwa kuwa kichocheo kikubwa sana cha kuamsha hisia za kimapenzi kwa mwanaume. 
Ndiyo maana wapo wanaume wengine bila hata kufanya mapenzi hujikuta wakiridhika na ile kutalii tu miili ya wapenzi wao wanene.

Ni wepesi wa kutosheka 
Inaelezwa kuwa, idadi kubwa ya wanawake wembamba mpaka kuwaridhisha inahitaji kazi ya ziada. Hii ni kwa sababu baadhi yao wana sarakasi nyingi na hawakubali kuonekana ni watupu.
Hata hivyo, baadhi ya wanawake wanene wanatajwa kuridhika haraka na siyo watu wenye makuu kwenye ulingo kiasi kwamba ni wachache sana wanaoweza kuonesha umwaba ulingoni.

MPENZI ANATAKA KUNIOA ILA ANASEMA YEYE HAJAWAHI KUFANYA MAPENZI, USHAURI JAMANI NIFANYAJE...??



Leo wakati nakuja hapa nilipo muda huu nilikuwa nimeongozana na wadada kama wa-4 hivi inaonekana wanaishi jirani na wanakofanyia kazi au kuishi ni kumoja

Wadada hawa walikua na story iliyovuta masikio yangu na kunifanya nipunguze spidi ili niendelee kuwasikiliza kwa kuwa tulipokuwa pana ka umbali kidogo hadi ufikie kituo cha usafiri wetu wa umma[Hiace/daladala/vifordi]


Wadada hawa walikuwa wanamzungumzia mwenzao ambae inaonekana siku za karibuni ataolewa


Tatizo halikuwa kuolewa bali anaemuoa

Inasemekana kuwa huyo mume mtarajiwa wa rafiki wa hao akina dada hajawahi kufanya ngono,yaani ni bikra wa kiume
Wadada wale walikuwa wanamlaumu mwenzao kwa kutokusikiliza maelekezo yao kwa kukataa kuolewa na huyo jamaa kwakuwa ni "mshamba" yaani hayajui mapenzi kitendo kitakachomfanya rafiki yao aanze kutembeza shule kwa huyo mume namna ya kugegeda kitendo ambacho wale wadada hawakukubaliana nacho

Walionekana kukerwa sana na walikuwa wanasema wao hawawezi kuja kuolewa au kuwa na mahusiano na mwanaume wa aina hiyo


Story hiyo ikanikumbusha miezi kadhaa iliyopita nilikuwa nazungumza na jamaa zangu kuhusiana na suala hili ambapo kuna jamaa alikuja kutulalamikia kuhusiana na mkewe kutokujua mapenzi kwa sababu alimkuta bikra


Jamaa yetu yule alionekana kukereka sana na alifikia kusema kama angejua asingemuoa

Kati ya vijana tuliokuwa pale watatu walikubaliana na yule jamaa
Nilishangaa!

Nilidhani kuwa kama ukimkuta mwanamke sio used basi unafurahi kumbe sio


Sasa nikiunganisha na hili tukio la leo naona hili jambo kama linakua flani hivi,yaani huenda hili suala hapo siku za nyuma lilikuwepo lakini inaonekana linachukua kasi mbaya


Nimeamua kulileta hapa ili nijue Wanaume wa hapa wanalichukuliaje suala hili

Pia wanawake nao wanalichukuliaje hili

Yaani kama kuna watu wawili ambao unatakiwa uchague kati ya huyo mmoja awe mwenzi wako na mmoja ni used na mwingine sio,ungependa yupi awe mwenzi wako na kwanini?


Watu wa siku hizi inaonekana hawapendi masuala ya kuanza kufundishana,wanataka watu ambao ni waalimu tayari


Inaonekana sisi mabikra tutaipata mwaka huu....lol!


Naomba mchango wako tafadhali!

LULU Alikumbuka Penzi La KANUMBA Siku ya VALENTINE DAY….Afunguka ya Moyoni.

lulu
WAKATI kesi yake juu ya kifo cha aliyekuwa nyota wa filamu Bongo, Steven Kanumba ikianza kurindima leo katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam, mwigizaji Elizabeth Michael ‘Lulu’ ametoa la moyoni akikumbuka mapenzi ya jamaa huyo aliyetangulia mbele za haki.
Lulu alifunguka hayo mwishoni mwa wiki iliyopita, Siku ya Wapendanao (Valentine’s Day) iliyosherehekewa duniani kote Ijumaa iliyopita.
“Kuna mtu natamani kumtakia Happy Valentine’s Day kwa kuwa nakumbuka mapenzi yake kwangu lakini kwa bahati mbaya siwezi kwa sababu hayupo na haiwezekani tena,” alisema Lulu.

Elizabeth Michael ‘Lulu’.


Marehemu Steven Kanumba.

Sunday, 16 February 2014

EBO! KAJALA ANATEMBEA NA CLEMENT?..WEMA SEPETU ASHUTUSHWA NA TETESI JUU YA KAJALA..SOMA ZAIDI KUJUA ,,,,,,,,,,,,,,,,,


MAKUBWA! Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu ‘Madam’ ameshtushwa na habari zilizoshika kasi mithili ya moto wa kifuu kuwa eti shosti wake, Kajala Masanja anatembea na Clement aliyemwagwa na staa huyo hivi karibuni.
Wema Sepetu.
Kuhusu ishu hiyo, Wema alifunguka mwishoni mwa wiki iliyopita: “Nampenda sana rafiki yangu (Kajala) na sitaacha...
“Hakuna kitu cha Kajala nisichokijua... watu wanaweza kusema chochote lakini namjua rafiki yangu.
“Ebo! Eti anatembea na Clement? Dah Wabongo... basi hata kama kweli angekuwa anatembea naye, kwa hiyo?
Kajala Masanja.
“Msijaribu kuharibu urafiki wetu, wakati hamjui tumetoka wapi mimi na Kajala...”

PICHA YA MTOTO WA SHAKIRA KWA FANS WAKE .....


This is cute!!!! 

Shakira and her husband Gerald Pique welcomed a baby boy some weeks ago and they named him Milan Pique!

TRUE LOVE: RIHANNA ACCOMPANIES CHRIS BROWN TO COURT HEARING


Rihanna accompanied her man Chris Brown to his court hearing yesterday Wednesday February 6th. 

Chris Brown's ongoing probation case stems from assaulting Rihanna in 2009. 

Yesterday was his progress report hearing, where he faced allegations that he lied about completing his community service. 

Rihanna blew Chris a kiss before the proceedings got underway and left arm in arm with him after the hearing......