Msanii wa Bongo Movie nchini Manaiki Sanga "The Don"
Mwanamuziki
wa bongo Flava Nay wa Mitego akiwa na mchumbaake aliyezusha balaa baada
ya Manaiki Sanga kudai kuwa keshampitia na kutaja alama zilizopo
mwilini mwake.
Na Mwandishi Wetu
Msanii
Manaiki Sanga "The Don" ameonekana kumtafuta Ney wa Mitego na kuingilia
ndoa yake baada ya kuandika kwenye mtandao wa Facebook akisema kuwa mke
anaejitambia Nay ameshamla uloda sana kiasi cha kutaka kumuoa.
Kwenye
post hiyo Manaiki alisema kuwa msichana huyo ambae hakumtaja jina
alikuwa kama mke wake kwa kipindi kirefu sana na hadia nakuja kumchukua
Nay ambae hivi karibuni ametangaza kumnunulia gari la milini therathini
kama zawadi.
0 comments:
Post a Comment