Utakuta
umempenda kijana mwenzako aaa kwa mapenzi kabisa unampa gemu kwa kujua
atakushusha mlima kitonga mwisho wa siku unaambulia kubakizwa na vumba tu!!!
Jamani inakera sana vijana fanyeni
mazoezi,mle vyakula vizuri chips yai na mikate asubuhi zinawaharibu mbona
wakubwa miaka 40's na kuendelea wanatufikisha
Nimefanya
resercha yangu wababa 3 vijana 3 ila kwa kweli wababa wanajua jamani tuwape
hongera sasa nyie vijana sijui tatizo ni nini?sijui vyakula,sijui haraka,sijui
stress za maisha hamko stable.
Huku
mjini kuna wamama wanauza mihogo mibichi na matango muwe mnanunua kidogo
zinasaida pia mule korodani za jogoo.
0 comments:
Post a Comment