mwanamke ajulikanaye kama CHERELLE
CAMPBELL huko marekani aliyekuwa na mtazamio wa kuwa na madimpoz tangu
utoto mwake kwani alikuwa akiyatamani madimpoz ya rafiki yake wa karibu
yalikuwa yakimvutia hata yeye.Hivi karibuni mwanamke huyo aliweza
kwenda kufanyiwa upasuaji wa shavu na kuwekewa madimpozi hayo fake
ambayo mwanzoni yalikuwa nikama madimpoz ya kawaida yale ya kuzaliwa
nayo lakini baada ya mda yalianza kudidimia na kuleta kuaribika ngozi
hiyo ya shavu kumfanya haonekane waajabu "nilitumia kama dolla 2500
kufanya surgery ya shavu kwa ajili ya madimpoz lakini sasa ninaonekana
vibaya kuliko nilivyo kuwa mwazo".
0 comments:
Post a Comment