Tuesday, 18 February 2014

YAFAHAMU MAMBO YANAYO MSUMBUA MOYONI MSANII LINNAH SANGA..SOMA HAPA NIKUJUZE

Chanzo cha habari hii klipata nafasi ya kuongea na msanii linah sanga na haya ndiyo mambo matano yanayomuumiza hadi leo
1. “nilivyosikia boyfrend wangu amenidanganya nilijisikia vibaya, unajua ni mtu ambaye sikutegemea kabisa. Tupo pamoja miaka yote na yupo so sweet kwangu lakini sikutegemea jinsi nilivyosikia eti ana-cheat baada ya mambo yote tuliyopitia,kwakweli zile taarifa zilinifanya niwe down sana”


2. “Nilivyokua form four majibu yalivyotoka , unajua mimi nilikua na plan za kusoma na kufika mbali.Sometime nakumbuka matokeo yalinifanya nisiwe na raha kabisa na kuna wakati mambo ya muziki yakienda vibaya najuta sana nakumbuka zile siku”

3. “Hadi sasa nafanya kazi ya muziki but i’m not happy kwasababu najua nawaudhi wazazi wangu. wazazi wangu wanatamani siku moja nirudi kundini (kanisani) lakini sasa mimi nafanya muziki in a good way na bado naendelea kua binti mzuri kwa wazazi wangu”

4. “Niliwahi kum-date mtu ambaye hakuwa sawasawa kama binadamu wa kawaida. yule kaka alikua na miaka 24 na mimi nina miaka 15 kwa wakati ule na historia yake huko nyuma alipitia mambo yakishirikina akawa kama msukule. kipindi kile kilikua kigumu sana kwangu”

5 . “Niliwahi kuumwa sana na kukaribia kua chizi kutokana na mahusiano . sehemu pekee niliyoponea ilikua ni kanisani kwa maombi ya muda mrefu sana.siwezi kusahau kipindi kile na hadi leo namshukuru mungu kwa kupona.”

0 comments:

Post a Comment