Xdeejayz ambayo imenasa picha hiyo ambayo ilirushwa na msanii
huyo akiwa na babu huyo anaekadiliwa kuwa na umri wa miaka 62 na
walionekana kupiga siku ya wapendano.
Hata hivyo kwa mujibu wa watu wanamfahamu msanii huyo
walisema kuwa amekuwa akimrubuni babu huyo wa kizingu anaefanyakazi kwa
mkataba kwenye kampuni moja iliyopo Masaki Jijini Dar huku akijaribu
kumpagawisha kwa kutoa penzi kinyume na maumbile japo mzungu huyo
achanganyikiwe na kuisahau familia yake iliyopo ughaibuni lakini wapi.
Aidha kwa mujibu wa mtu mmoja ambae anamfahamu dada huyo toka
akiwa mcheza ngoma hadi kuwa muigizaji amekiteka vilivyo kizee hicho
ambacho hata wazazi wa muigizaji huyo wadogo na humuamukia shikamoo hali
inayowakosesha amani wazazi wake.
Aidha tabia ya dada zetu kutembea na vibabu vya kizungu
imeendelea kushamili kila kukicha na hivi karibuni msanii Shilole ambae
aliopoa mzungu mtaani na kumtangaza kama mchumbaake kumbe baadae taarifa
zikavuja kumbe mzungu huyo ni bwabwa anahemewa kisongoni hali ilimpa
hasara msanii huyo.
Taarifa zilizotua mezani kwa Xdeejayz zinasema kuwa msanii
huyo licha ya kibabu hicho kumpatia kila kitu lakini amekuwa
akijihusisha kimapenzi na mwanamuziki mmoja wa bolingo ambae ni raia wa
Kongo jina linahifadhiwa lakini itakapobidi ataanikwa hewani
0 comments:
Post a Comment