Showing posts with label udaku. Show all posts
Showing posts with label udaku. Show all posts

Friday, 7 March 2014

JE WAZIJUA SEHEMU ZAKUMPA MPENZI WAKO MAHABA AMBAYO HATAKAA KUSAHAU........? SOMA HAPA KUZIJUA.......!!


 
Tendo la ndoa au ngono ndilo tendo la furaha lililo kuu kwa binadamu.Wakati tendo hilo kwa wanyama lipo kwa ajili ya kuzaa,kwa upande wa binadamu ni zaidi ya kuzaa.Mapenzi au tendo la ndoa ni sanaa hivyo inatakiwa ufundi na ubunifu ili kuweza kufurahia tendo hili.Yafuatayo ni maeneo 12 yenye msisimko na kama mwanaume utayashughulikia ipasavyo bila shaka mtafurahia uumbaji wake Mungu.


1. MIDOMO YAKE. Tumia midomo yako,ulimi wako na meno yako kuchezea mdomo wake wa juu na wa chini na umbusu kwa msisimko mkubwa.Kunyonya ulimi pia huchangia kuongeza kasi ya mwanamke kwenda kileleni.(usafi wa kinywa kwa wote wawili ni muhimu).
2. UKE NA KINEMBE. Tumia kidole chako cha kwanza cha mkono wa kulia polepole pitisha katika mfereji wa uke ukianzia chini (kutokea kwenye ******) ukipandisha juu,fanya hivyo mara kadhaa.Kutegemea umbo lako na urefu,unaweza kuchanganya zoezi hili na kunyonya matiti yake na hapo utaona upumuaji wake ukibadilika na majimaji yakiongezeka kwenye uke. Kwa kawaida kinembe cha mwanamke kimejificha lakini ukifanya vizuri zoezi la hapo juu na chenyewe kama uume kitajaa damu na kuinuka.Kinembe kipo juu kabisa ya mfereji wa uke na kina ukubwa wa harage au kwa wanawake wengine huwa kidogo zaidi.Tumia kidole chako cha kwanza na taratibu zungusha zungusha kidole juu ya kinembe,pandisha na kushusha kidole chako na hapo unaweza kumfikisha kwenye kilele cha utamu wa mapenzi hata kabla ya hujaiingiza uume. Wanawake wengi watafurahia ukitumia uume wako uliosimama vizuri kupigapiga eneo la kinembe nah ii huufanya uume kuwa wa moto na unapomwingilia joto la uume wako litafanya raha ya tendo hili kuwa kubwa zaidi. Kinembe ndio sehemu ambayo kwa asilima 80 huhusika na kazi ya kumfikisha mwanamke kileleni na kwa kuwa kinembe kiko mbali kidogo toka kwenye tundu la uke,sio rahisi kwa uume kukifikia kinembe,hivyo mwanaume anatakiwa ajisukume kwa makusudi kabisa kwenda mbele ili shina la uumelisugue kinembe wakati wa kuingia na kutoka kwa uume.
3. MATITI YAKE. Matiti yake ni sehemu muhimu sana kwa mwanamke kama ilivyo kwa uke wake.Utampatia raha kamili mwanamke kama utayapapasa papasa matiti yake,utayaminyaminya kwa upole wa kimahaba,utayalambalamba na kuyanyonya.
4. MASIKIO YAKE. Wanawake wengi hupata burudani masikio yao yanapolambwa au kunyonywa au kupigwa busu.
5. SEHEMU YA NYUMA YA SHINGO Tumia ulimi wako kulamba sehemu ya shingo yake kwa mwendo w kutekenya tekenya.Tumia ncha ya ulimi kutekenya tekenya kwa kufanya mduara na kuendelea kuchora mduara na kurudiarudia.
6. SEHEMU YA NYUMA YA GOTI. Sehemu ya nyuma ya goti ina miishio mingi ya mishipa ya fahamu na utashangaa jinsi ammbavyo mwanamke atapata burudani kwa kuishughulikia vyema sehemu hii.
7. SEHEMU YA NDANI YA MAPAJA. Tumia ubapa wa kiganja chake kupapasa kwa ulaini sehemu ya ndani ya mapaja yake,fanya hivyo juu juu huku ukimbusu busu mapaja yake.
8. ****** YAKE. Wanawake wengi wanapenda ****** yao yachezewe kimahaba,anza kwa kuyapapasa papasa,endelea kwa kuyaminya minya kwa kutumia vidole.
9. MIISHO YAKE. Miguu yake imejaa miishio ya mishipa ya fahamu kiasi ambacho baadhi ya wanawake wanaweza kufika katika kilele cha burudani ya tendo la ndoa kwa miguu yao kusuguliwa na kupapaswa.
10. USO WAKE. Mwanamke atafurahi sana utakaposhika uso wake katika hali ya mahaba na huku ukitabasamu.Wakati ukifanya hivyo unaweza kumbusu midomo yake,mashavu na kwenye paji la uso.
11. HIPS ZAKE. Sehemu hii ni moja ya sehemu ambazo zitamfanya mwanamke ajisikie amekubalika kabisa iwapo utashika wakati wa tendo la ndoa.



12. G-SPOT Sehemu hii iko ndani ya uke ambayo inapata hisia kubwa sana ikibonyezwa bonyezwa,sehemu hii ipo sentimeta 5 kutoka mlango wa uke na iko katika ukuta wa juu wa uke.Sehemu hii ikibonyezwa na kuchezewa ipasavyo mwanamke anaweza akapiz mara mbili au zaidi kwa wakati mmoja.Hii ni njia rahisi ya kumfikisha mwanamke kileleni,mwanaume aingize kidole kwenye uke na kubonyeza na kusugua sehemu ya juu ya uke,sehemu hii imekaa kama sponji na huwa ngumu kwa kadiri inavyobonyezwa.Mwanamke anaweza kujisikia kama anataka kukojoa kabisa na hawezi kukojoa ila raha atakayopata ni kubwa sana.
NB.Ni muhimu kutambua kuwa sehemu hizi 12 sio kama msarafu,hutofautiana kutoka mtu na mtu.Suala lililo muhimu sana ni wawili wapendanao kuwa wawazi na wawe na uhuru wa kuambiana jinsi wanavyojisikia.

Saturday, 22 February 2014

KWA NINI WANAUME WENGI SIKU HIZI HAWAPENDI KUOA...?? SOMA HAPA KUJUA SABABU..


Kumekuwa na maswali yasiyo na majibu miongoni mwa jamii kwamba imekuaje vijana wa kiume wamekuwa ni waongo sana hasa linapokuja swala la kuoa? Kwa kadiri siku zinavyozidi kwenda ndivyo ambavyo idadi ya wanaume wanaoogopa kuoa inazidi kuongezeka. Utakuta wapenzi wanaambiana kwamba wanapendana na kuahidiana kuwa wataoana, lakini kitakachotokea baada ya hapo ni mwanaume kuanza kupiga chenga kwa visingizio lukuki.

Kwa nini hali hiyo hutokea?

Ukweli ni kwamba hakuna jibu la moja kwa moja juu ya tatizo hilo, lakini yapo mambo ambayo yanaweza kutupa angalau tafakuri. Nitajaribu kudadavua baadhi ya sababu zinazowafanya wanaume siku hizi kukwepa kuingia katika taasisi ya ndoa:

1 Ukosefu wa mtu wa kumchukulia kama mfano:
Hapa nawazungumzia wale watoto wa kiume waliolelewa malezi ya upande mmoja yaani walilelewa na mama peke yao. Sina maana ya kudharau au kutweza malezi ya mama, la hasha, lakini ni vyema mkafahamu kwamba kuwa na baba asiye na malezi mazuri si sawa na kutokuwa na baba. Na ndio maana nikasema ukosefu wa mtu wa kumchukulia kama mfano. Achilia mbali aina ya malezi atakayoyapata kwa familia yawe mazuri au mabaya lakini lazima kutakuwa na tabia za kiume zitakazoakisi malezi ya mtoto wa kiume katika familia husika. Watoto waliolelewa na mama peke yao kuna kitu huwa wanakosa, kwani wanakuwa hawana mtu wa kumchukulia kama mfano kwa upande wa jinsia ya kiume na hapo ndipo hujikuta wakijifunza wenyewe namna ya kuongea na kutenda kama wanaume kwa sababu katika makuzi yao hawakupata fursa ya kuwa karibu na baba zao. Kwa kuwa siku hizi kuna kundi kubwa la kina mama ambao wamejikuta wakiachiwa mzigo wa malezi ya watoto, baada ya aidha kuachwa na waume zao au kuzalishwa na kutelekezwa (Single mothers), na hapo ndipo tunaposhuhudia mtoto wa kiume anapokua kwa umri na kimo huku akiwa hana mtu wa kumuangalia kama mfano wa mume anavyotakiwa kuwa katika familia zaidi ya kujifunza mambo hayo kupitia katika TV, senema au miziki. Wanaume waliopitia malezi ya aina hii huchelewa sana kuoa kwani huyaangalia maisha ya ndoa kwa namna ya kujaribu na ndipo hapo wengi huishia kuishi kinyumba na wanawake kwa ajili ya kutaka kujifunza namna ya maisha ya ndoa yanavyotakiwa kuwa na ndio sababu huchukua muda mrefu kufanya maamuzi. Na mara nyingi huishia kubadilisha wanawake kutokana na kutokuwa na uhakika wa kile wanachokitafuta.

2 Mgogoro wa kiuchumi:
Kuna kundi kubwa la vijana siku hizi hawana ajira au hawana uhakika na kipato. Ukweli ni kwamba hakuna mwanaume atakayependa kujiingiza kwenye ndoa wakati hana kazi au hana uhakika na kipato chake. Na hiyo ni kutokana na wanawake wengi siku hizi kuonekana kujali zaidi wanaume wenye uhakika na kipato. Hii misemo ya wanawake ya kebehi dhidi ya wanaume wasio na ajira au kipato, kama vile “mwanaume suruale” ina mchango mkubwa sana katika kuwafanya wanaume kukwepa kuoa iwapo hawana ajira au hawana uhakika na kipato chao.


3 Wanawake wengi kuwa na kiwango cha elimu ya juu:
Siku hizi wanawake wengi wameibuka katika kutafuta elimu ya juu kwa juhudi kubwa. Idadi ya wanawake wanaojiunga na vyuo vikuu ni wengi tofauti na ilivyokuwa zamani. Na hiyo ni kutokana na wazazi wengi kubadili mtazamo wao juu ya mtoto wa kike. Zamani mtoto wa kike alichukuliwa kama kitega uchumi. Kwa maeneo ya vijijini na katika familia masikini, watoto wa kike walikuwa wanatazamwa kama, ‘biashara ya kesho’ ambapo watauzwa kwa njia ya mahari. Kwa hiyo thamani yao ilikuwa ni kuolewa, ni ile ya kibidhaa na sio kibinadamu. Lakini tofauti na zamani siku hizi hata kule vijijini kumekuwa na mwamko mkubwa sana wa kumsomesha mtoto wa kike hadi elimu ya juu. Kutokana na mwamko huo wanawake wengi wamejikuta wakiona elimu kama kimbilio pekee la kuepukana na mfumo dume. Mwanamke gani atakubali kunyanyaswa na mwanaume akiwa na elimu yake na labda pia akiwa na kazi yake yenye mshahara na marupurupu ya kutosha, naamini watakuwa ni wachache sana ambao hawajiamini au waliathiriwa na malezi. Kwa upande wa wanaume nao, wamejikuta wakiwaogopa wanawake hawa wenye elimu ya juu kwa hofu ya kuzidiwa kipato na labda kukosa sauti kama mwanaume na hiyo inatokana na ego tu.

4 Wanaume huwaona wanawake kama tishio wanapokuwa na mafanikio makubwa kifedha:
Inaweza kutokea mwanaume anaweza kuwa na uhusiano na mwanamke ambaye labda tu nisema ni mbangaizaji. Wakati huo anaweza kuahidi kufunga ndoa na mwanamke huyo, lakini iwapo itatokea mwanamke huyo akapata mafanikio kibiashara na kuinuka kifedha. Kama mwanamke asipokuwa makini anaweza kusababisha mwanaume huyo akaingia mitini. Sababu kubwa hapo inaweza kuwa ni hofu ya kuogopa kuongozwa na mwanamke. Kumbuka kwamba mfumo dume bado umetawala vichwani mwa wanaume wengi kutokana na malezi. Mwanaume asiyejiamini ni vigumu sana kwake kuoa mwanamke aliyemzidi kipato. Kwa sababu akifanyiwa jambo dogo tu, inakuwa kama ametoneshwa. Atahisi kutaka kutawaliwa na mwanamke huyo. Jambo ambalo wanawake wanatakiwa kulifahamu ni kwamba kila mwanaume anataka kutambuliwa na kuheshimiwa kama shujaa kabla ya kumfuata msichana. Iwapo utakuwa umesimama iwe ni kifedha au kielimu pale unapotafuta kupata mwenza, inabidi ujishushe sana la sivyo utadoda.


5 Wanaume wengi siku hizi wana hofu ya majukumu, hasa ya kulea watoto:
Kutokana na malezi yao au kile wanachokijua kuhusu watoto, baadhi ya vijana huamini kwamba, kulea watoto ni jambo gumu sana. Lakini wengine wanaamini kwamba, hata mke anapaswa kulelewa kama ilivyo kwa mtoto. Hivyo wanaamua kutafuta kwanza uwezo ambao haupatikani kiurahisi. Kuna wengine, ambao wamefundishwa au kuelekezwa na mila na desturi zao kwamba, kabla hawajaoa, ni lazima wawe na nyumba kwanza, tena kwao. Kwa hiyo, hawa hadi waje wapate uwezo wa fedha wanakuwa wameshachelewa.

6 Kuna baadhi ya wanaume, maisha bila ya ndoa wanayaona kuwa ndiyo bora kuliko yale ya ndoa:
Kuna baadhi ya wanawake hujirahisisha sana kwa wanaume. Siku hizi ni jambo la kawaida sana kukuta mwanaume anaishi na mwanamke bila ndoa, wenyewe wanaita Trial Marriage. Na hapo ndipo unapokuta wanaume hawaoni tena umuhimu wa kuoa. Sasa kama mwanamke anaweza tu kuishi na mwanaume bila ya ndoa na mwanaume huyo akapata huduma zote kutoka kwa mwanamke huyo, unadhani ni kitu gani kitamvuta kufunga ndoa. Jambo lingine ni ile dhana kwamba maana ya ndoa ni tendo la ndoa. Siku hizi wanaume wengi wamejikuta wakiwa hawahitaji tena kuoa kwa sababu tendo hilo linapatikana kiurahisi tofauti na zamani. Siku hizi inawezekana kabisa kumtongoza binti leo na kupata tendo siku hiyo hiyo….. Na hapa siwazungumzii makahaba. Nawazungumzia mabinti zetu ambao wengine ukiwaona ni watu wa kuheshimiwa ukiwaangalia kwa nje lakini kwa ndani hawana lolote, vijana wa siku hizi wenyewe huwaita maharage ya Mbeya.

Kuna sababu nyingi zinazotajwa kusababisha wanaume siku hizi kujivuta sana katika kufanya maamuzi ya kutafuta mwenza. Lakini hizo chache nilizozitaja zina mchango mkubwa.

NENO MOJA LATOSHA KUVUNJA NDOA...!! SOMA HAPA..


Kubishana sawa, lakini tuchunge kauli zetu!

Wote sisi, kama binadamu huwa tunashikwa na hasira kutoka muda fulani hadi mwingine, lakini kushikwa na hasira na kuziacha hasira hizo ziwaumize wale tunaodai kuwa tunawapenda ni jambo tofauti sana.

Tunapojikuta tunashindwa kuzuia kulipukwa na hasira dhidi ya wale tunaowapenda mara kwa mara, inapasa tujue pia kwamba tunaujeruhi uhusiano wetu na baadae tutauuwa kabisa.

Kuna wakati kwa sababu mbalimbali, baadhi yetu huwa tunajikuta tukitaka tu kuwakera wapenzi wetu kwa kuwapandishia kila wakati kwa milipuko ya hasira. Ni kama vile, bila kulipukwa na hasira hizo, maisha yetu yanakuwa yamepoteza maana.

Ni vigumu sana wakati mwingine kwa watu hawa kuacha tabia yao hiyo, lakini juhudi ya kujitoa ni muhimu sana. Ni muhimu sana kwa sababu, uhusiano mwingi umevunjika kutokana na hasira hizi za kila wakati, ambazo wala hazina msingi, bali zinatokana na mtu kujichukia mwenyewe.

Kutokana na hasira hizi, mara nyingi wapenzi hujikuta wakilazimika kubishana badala ya kujadili. Hawa watu wenye hasira hizi za hapa na pale, huwa siyo wasikilizaji, bali ni watu wa kulaumu, kujitetea, na kutaka kusikilizwa wao tu, kwa maana ya kushinda.

Katika uhusiano wa aina hii, hakuna uwezekano wa ustawi, bali uwezekano ni uhusiano kufa. Kwani ni mara chache ambapo huyu mpenzi mwenye hasira za mlipuko atakuwa tayari kusikiliza na kuelewa.

Jambo ambalo wapenzi wanapaswa kulifanya,. Bila kujali kama wana hasira sana au hasira nyingi, ni kujitahidi kuweka nguvu kwenye jambo wanalojadili. Watu wenye hasira za ziada, huwa hawana uwezo wa kuzingatia kile kinachojadiliwa.

Huwa na ugumu huo kwa sababu hasira za ziada huwasukuma kusema chochote ambacho kitawafanya washinde, ikiwemo kusingizia na kusema uongo. Lakini huwa wanabebwa na wimbi la hasira kiasi kwamba hawana muda wa kupima athari ya kile wanachosema.

Kuna haja ya kujua kwamba, neno moja tu la hasira, linatosha kuvunja uhusiano au ndoa. Kwa hiyo, ni muhimu sana kwa mtu mwenye hasira za mlipuko kujifunza kuzingatia jambo ambalo, yeye na mpenzi wake wanalijadili. Anapotoka nje ya mada, ni lazima ataropoka.

Kuna wanandoa wanabishana kuhusu shule ya mtoto kwa mfano, mwanandoa mwingine hana haja ya kusema, ‘unabisha kwa sababu hukusoma, ndilo tatizo la kuoa wanawake wasiosoma.’ Hapa ni kutoka nje ya mada kwa hasira za mlipuko.

Kumbuka pia kwamba, wanandoa au wapenzi ambao wanapobishana hawatoki nje ya kile wanachobishania na pia wanatumia nguvu ya hoja badala ya mihemko, huwa wanaelewana katika mambo mengi sana, huwa wanatatua migogoro mingi kwa amani na kuaminiana zaidi.

Kuna wakati kwa sababu ya hasira za mlipuko, mpenzi anaweza kutafuta kwa makusudi jambo ambalo litamuudhi mpenzi wake. Anaweza kumwambia, ‘sibishani na mwanamke mnene kama nguruwe.’ Au mwanamke akamwambia mpenzi au mumewe, ‘mbele ya wanaume nawe unajiita mwanaume.’

Kila mmoja wetu anajua ni maneno gani akisema yatamkera mwenzake. Nasema kila mpenzi anajua eneo nyeti la mpenzi wake, ambalo akiligusa anakuwa amemuuwa kisaikolojia. Kujua huku eneo hilo hakupaswi kutumiwa vibaya na wapenzi.

Kwenye uhusiano kuna kanuni ya, ‘usimtendee mwenzio yale ambayo hupendi kutendewa.’Wapenzi wanapoweza kila mmoja kufuata kanuni hii, uhusiano huwa mzuri sana.

Kuna wakati mpenzi anaweza kudhani kwamba wakati wa kubishana ndio wakati mzuri kwake ‘kumpasha’ mpenzi wake, ndiyo wakati mzuri wa kumuumiza kihisia. Hili ni kosa la karne kwa sababu wakati huu, ndio ambao mwanandoa au mpenzi anapopaswa kujilinda na kauli zake kuliko waati mwingine.

Maneno ndio silaha kwenye kubishana kumbuka. Kwa hiyo yanatumika vizuri au vibaya ni jambo la msingi sana. Maneno huumiza na kuvunja mifupa kuliko vyuma, anavyoweza kupigwa navyo mtu.

Mtu anapojifunza kubishana bila kutumia maneno ya kuumiza au kutoka nje ya mada inayojadiliwa, hujenga kujiamini, kwani mara nyingie hasira za ziada ni matokeo ya kutojiamini.

Inaonekana kuna aina ya maradhi ya kisaikolojia, ambapo mtu hujikuta hawezi kuishi maisha ya amani na mpenzi.

Akihisi amani ni kubwa, hutafuta njia ya kuiondoa ili ajisikie vizuri. Kwa hiyo, atazua jambo ambalo litazua ubishi ambao utamfanya aropoke.

Wednesday, 19 February 2014

KAMA BADO HUMJUI..!! BASI PATA KUMTAZAMA MCHUMBA WA ADAM MCHOMVU ,BABA JONIII..JIONEE HAPA



Hatimaye Adam Mchumvu aamua kumuweka hadharani mpenzi wake. Tazama picha hizo hapo chini

 

Tuesday, 18 February 2014

JUA JINSI YA KUMTOA MSICHANA USICHANA WAKE (BIKRA) BILA MAUMIVU


Habari zenu wapendwa,last night nilikuwa nago through my emails,nikakuta kuna email kutoka kwa 1 of my female fans,aliituma kama wiki moja iliyopita,aliniambia kuwa yeye bado ni bikira lakini kuna mtu ametokea kumpenda na anataka kupeana nae Raha na Utamu kwa mara ya kwanza katika Maisha yake,kwa hiyo akaniuliza maswali mawili,swali la kwanza alikuwa anataka kujua jinsi ya kumridhisha boyfriend wake,alikuwa anataka kujua mambo muhimu kwa sababu hana experience.


aliuliza Jinsi ya kupeana Raha na Utamu bila Maumivu kwa kuwa yeye bado bikira,so jibu lake ndio hii Post yenyewe. 

Ingawa asilimia kubwa ya wanawake au wasichana,hupata maumivu pale wanapokuwa wanatolewa bikira zao,wapo ambao hawapati maumivu kabisa na pia wapo ambao hupata maumivu kidogo sana kulingana na hizo bikira wanatolewa na Mwanaume gani na huyo Mwanaume anajali(care) kiasi gani. 
Yapo Mambo ambayo ukifanya,kuna uwezekano mkubwa sana wa kutopata Maumivu wakati unatolewa bikira,na hata kama ukipata Maumivu basi yanakuwa kidogo sana tofauti na marafiki zako wa kike ambao kila siku wanakuambia kuwa inauma sana kitu ambacho sio kizuri kisaikolojia(psychologically),kwani wanakuwa wanazidisha uoga Ndani ya akili na Nafsi yako,na ukiruhusu Uoga ukutawale then obviously lazima utaexperience the same pain kama wao(which you shouldnt coz tendo linaitwa Raha na Utamu,na sio Raha na Maumivu) 
Baadhi ya mambo inabidi afanye Mwanamke na mengine afanye Mwanaume,so itapendeza kama hii post msome wote,au soma peke ako kisha utamwambia kitu gani anatakiwa kufanya,mambo yenyewe ni kama ifuatavyo, 

1.JARIBU KUWA COMFORTABLE NA ASHKI ZAKO (TRY TO BE COMFORTABLE WITH YOUR OWN SEXUALITY) 
Wanawake/wasichana wengi wenye bikira wanakuwa hawana elimu ya kutosha kuhusu miili yao. Na kitendo cha kutojua kinajenga uoga na mwisho wake huo uoga unaongeza maumivu wakati wa kupeana Raha na Utamu kwa mara ya kwanza.(kisaikolojia/psychologically)
Uoga ukizidi sana,utasababisha kupunguza na kumaliza kujiamini kwako,kitu ambacho kisaikolojia,kitasababisha misuli ya uke wako izidi kukaza(clench),na uwezekano wa kukabiliana na Maumivu unakuwa mkubwa zaidi. 
Badala ya kuacha uoga utawale mawazo yako,unatakiwa utafute njia za kurelax na ujifunze zaidi kuhusu hamu,ashki,hisia pamoja na mwili wako jinsi utakavyofanya kazi wakati wa kupeana Raha na Utamu,ili uweze kujiamini zaidi,na kujiamini kwako kutapunguza au kumaliza kabisa maumivu wakati wa kupeana Raha na Utamu,Zifuatazo ni baadhi ya mbinu ambazo unaweza kuzitumia kwa ajili ya kujifunza zaidi, 

  • Soma zaidi,tafuta vitabu vya kimapenzi na hata search kwenye internet ili uweze kujua kitu gani kinaingia wapi,kitu gani ni kawaida na kitu gani unatakiwa kutarajia(what you shuld expect).  Ukishajua itasaidia sana kupunguza na hata kumaliza kabisa wasiwasi wako kuhusu kupeana Raha na Utamu kwa mara ya kwanza.
  •  
  • Elewa Mwili wako,unatakiwa uelewe mwili wako especially kama Mwanaume/Mvulana atakaekuwa anaitoa hiyo bikira,na yeye hajawahi kufanya au hana experience yoyote kuhusu Mwili wa Mwanamke,yaani namaanisha kama hajui wapi akutomase(caress),wapi akulambe na wapi akutekenye(tickle) etc.      Na Njia pekee ya kuufahamu na kuujua Mwili wako kwa uhakika na kwa urahisi zaidi,ni kupitia KUJICHUA(MASTURBATION/WANKING)
  •  
           Tafuta Muda ambao utakuwa peke ako,Vua nguo zako zote,jilaze kitandani,anza kujishikashika na kujitomasa wewe mwenyewe kuanzia kwenye matiti,mapaja mpaka kwenye uke. Wakati ukiwa unajishikashika na kujitomasa mwenyewe,utaona na kugundua kuwa katika mwili wako,sehemu zenye 'Hamu' zinatofautiana kiwango cha kukupa Raha. 
Sasa zile Sehemu ambazo ulienjoy zaidi,unaweza ukamwambia boyfriend wako azitumie wakati anakutoa bikira ili usipate maumivu kabisa au hata kama ukipata yawe kidogo sana.
  • Approach Sex With A Positive Attitude,Ili kuondoa kabisa Uoga,basi hakikisha huo uamuzi wa kuitoa bikira yako,uwe umetoka Ndani ya Moyo kwa hiari yako mwenyewe,Kama unajiona unapata msongo wa mawazo(stress) juu ya kufanya uamuzi wa kuitoa bikira yako,basi ujue kuna uwezekano mkubwa kuwa Mwili na hata akili,vyote havipo teyari.
  •  
  •  Ukilazimisha ndio hapo unajikuta unapata maumivu. Ila kama ni uamuzi wako mwenyewe,hakuna aliyekulazimisha na unajiona upo teyari kuitoa,sio kwa ajili ya kumfurahisha Mpenzi wako tu,lakini pia unatakiwa uone hii step kama Daraja la kuvuka kwenye Maisha yako ya kimapenzi linalokutoa sehemu moja na kukupeleka sehemu nyingine

JE MATITI YAKO YAMELALA KAMA NDALA...?? SOMA HAPA KUPATA SULUHISHO UYAFANYE YASIMAME TENA NA KUWA **CHUCHU SAA 6..**




Ikiwa wewe umechelewa(ulikuwa hujui hili wakati matiti yako yanaota) basi msaidie mdogo wako au binti yako anaekuwa hivi sasa, ili asije kujisikia vibaya pale wanaume watakapokuwa wakiponda  matiti kwa kuyaita "malapa"....Kwanza kabisa hakikisha mtindo wa kulala ni kifudifudi (kulalia tumbo), kwa kufanya hivyo kunasaidia kwa kiasi kikuwa kufanya matiti yako pumzike, kwamba hakutakuwa na kuning'inia kama utakuwa umelala chali(lalia mgongo) au kiubavu.

Zoezi...1
Asimame wima dhidi ya mlango au ukuta kisha aegeshe matiti yake mahali hapo kwa nguvu kisha aachie (ajitoe ukutani), zoezi hili hufanya matiti yaume sana lakini wewe kama dada  mpe moyo kuwa avumilie. Afanye hivyo mara 20 kila asubuhi.

Zoezi....2
Simama wima huku mikono yako ikiwa imenyooshwa huku na kule kisha ipeleke mbele nakukutanisha viganja vyako alafu irudishe nyumba kadiri uwezavyo (sio lazima ikutane) ila utahisi maumivu fulani sehemu ya matiti (misuli yafanya kazi hapo)....fanya hivyo mara 10 na ongeza hesabu njinsi unavyokua.

Zoezi...3
Ukiwa umesimama wima na mikono yako imenyooshwa huku na hule inanyue taratibu kuelekea juu na kutanisha vidole vyako huko juu kisha rudisha mikono ilipokuwa (imenyooka huku na kule)

KWA WANAUME: JE UNAZIJUA SEHEMU 12 ZINAZOMPA RAHA MWANAMKE WAKATI WA TENDO LA NDOA...?? SOMA HAPA KUJUA,,,,,,,,,

 
Black-couple-in-bed

Tendo la ndoa au ngono ndilo tendo la furaha lililo kuu kwa binadamu.Wakati tendo hilo kwa wanyama lipo kwa ajili ya kuzaa,kwa
upande wa binadamu ni zaidi ya kuzaa.Mapenzi au
tendo la ndoa ni sanaa hivyo inatakiwa ufundi na ubunifu ili kuweza kufurahia tendo hili.
Yafuatayo ni maeneo 12
yenye msisimko na kama
mwanaume utayashughulikia ipasavyo
bila shaka mtafurahia
uumbaji wake Mungu
.
1. MIDOMO YAKE.
Tumia midomo yako,ulimi wako na meno yako kuchezea mdomo wake
wa juu na wa chini na umbusu kwa msisimko mkubwa.Kunyonya ulimi
pia huchangia kuongeza kasi ya mwanamke kwenda kileleni.(usafi wa kinywa kwa wote wawili ni muhimu).

2. UKE NA KINEMBE.
Tumia kidole chako cha kwanza cha mkono wa kulia polepole pitisha katika
mfereji wa uke ukianzia chini (kutokea kwenye
matako) ukipandisha juu,fanya hivyo mara kadhaa.Kutegemea umbo lako
na urefu,unaweza kuchanganya zoezi hili na
kunyonya matiti yake na hapo utaona upumuaji wake ukibadilika na majimaji yakiongezeka
kwenye uke. Kwa kawaida
kinembe cha mwanamke
kimejificha lakini ukifanya vizuri zoezi la hapo juu na chenyewe kama uume
kitajaa damu na kuinuka.Kinembe kipo juu kabisa
ya mfereji wa uke na kina
ukubwa wa harage au kwa
wanawake wengine huwa kidogo zaidi.Tumia kidole chako cha kwanza na taratibu zungusha zungusha kidole juu ya kinembe,pandisha na kushusha kidole chako na hapo unaweza kumfikisha
kwenye kilele cha utamu wa mapenzi hata kabla ya
hujaiingiza uume. Wanawake wengi
watafurahia ukitumia uume
wako uliosimama vizuri
kupigapiga eneo la kinembe na hii
huufanya uume kuwa wa moto na unapomwingilia joto la uume wako
litafanya raha ya tendo hili kuwa kubwa zaidi. Kinembe ndio sehemu ambayo
kwa asilima 80 huhusika na kazi ya kumfikisha mwanamke kileleni na
kwa kuwa kinembe kiko mbali kidogo toka kwenye tundu la uke,sio rahisi kwa uume kukifikia kinembe,hivyo mwanaume anatakiwa
ajisukume kwa makusudi kabisa kwenda mbele ili
shina la uumelisugue kinembe wakati wa kuingia na kutoka kwa uume.

3. MATITI YAKE.
Matiti yake ni sehemu muhimu sana kwa mwanamke kama ilivyo
kwa uke wake.Utampatia raha kamili mwanamke kama utayapapasa papasa
matiti yake utayaminyaminya kwa
upole wa kimahaba,utayalambalamba na kuyanyonya.

4. MASIKIO YAKE.
Wanawake wengi hupata
burudani masikio yao
yanapolambwa au kunyonywa au kupigwa busu.

5. SEHEMU YA NYUMA YASHINGO
Tumia ulimi wako kulamba
sehemu ya shingo yake kwa
mwendo w kutekenya
tekenya.Tumia ncha ya ulimi kutekenya
tekenya kwa kufanya mduara na kuendelea kuchora mduara na kurudiarudia.

6. SEHEMU YA NYUMA YA GOTI.
Sehemu ya nyuma ya goti ina miishio mingi ya mishipa ya fahamu na
utashangaa jinsi ambavyo mwanamke atapata
burudani kwa kuishughulikia vyema
sehemu hii.

7. SEHEMU YA NDANI YA MAPAJA.
Tumia ubapa wa kiganja chake kupapasa kwa ulaini sehemu ya ndani ya mapaja yake,fanya hivyo juu juu huku ukimbusu busu mapaja yake.

8. MATAKO YAKE.
Wanawake wengi wanapenda matako
yao yachezewe kimahaba,anza kwa kuyapapasa papasa,endelea kwa
kuyaminya minya kwa kutumia vidole.

9. MIISHO YAKE.
Miguu yake imejaa miishio ya mishipa ya fahamu kiasi ambacho baadhi ya wanawake wanaweza
kufika katika kilele cha burudani ya tendo la ndoa kwa miguu yao kusuguliwa na kupapaswa.

10. USO WAKE.
Mwanamke atafurahi sana
utakaposhika uso wake katika hali ya mahaba na huku ukitabasamu.Wakati
ukifanya hivyo unaweza kumbusu midomo yake,mashavu na kwenye paji
la uso.

11. HIPS ZAKE.
Sehemu hii ni moja ya sehemu ambazo zitamfanya mwanamke
ajisikie amekubalika kabisa iwapo utashika wakati wa tendo la ndoa.

12. G-SPOT
Sehemu hii iko ndani ya uke ambayo inapata hisia kubwa sana ikibonyezwa
bonyezwa,sehemu hii ipo sentimeta 5 kutoka mlango
wa uke na iko katika ukuta wa juu wa uke.Sehemu hii
ikibonyezwa na kuchezewa
ipasavyo mwanamke anaweza akapiz mara mbili au zaidi kwa wakati mmoja.Hii ni njia rahisi ya
kumfikisha mwanamke
kileleni,mwanaume aingize kidole kwenye uke na kubonyeza na kusugua
sehemu ya juu ya uke,sehemu hii imekaa kama
sponji na huwa ngumu kwa kadiri inavyobonyezwa.Mwanamke anaweza
kujisikia kama anataka
kukojoa kabisa na hawezi
kukojoa ila raha atakayopata ni kubwa
sana.

NB.Ni muhimu kutambua kuwa sehemu hizi 12 sio kama msarafu,hutofautiana kutoka mtu na mtu.Suala lililo muhimu sana ni
wawili wapendanao kuwa wawazi na wawe na uhuru wa kuambiana jinsi

Wednesday, 6 November 2013

Mwanafunzi aliyabakwa na kupewa mimba aililia Serikali imruhusu kufanya mtihani wa form 4....Adai kuwa Alipata mimba kwa bahati mbaya..!!



Kupitia kipindi cha Wanawake Live kinachorushwa na EATV kila siku ya Jumanne saa tatu usiku, umma wa Watanzania walipata kufahamu kilichomkuta binti Emma Roberts.

Kwa kukumbusha tu, Emma ni binti aliyefukuzwa shule kutokana na ujauzito. Ujauzito wa Emma ulikuja baada ya kufanyiwa kitendo cha ukatili cha ubakwaji. 

Huddah amfananisha Prezzo na Mbwa jike...Adai umalaya wake umezidi wa Mbwa sana..!!

 
X girlfriend wa Prezzo Huddah Monroe amemchafua vibaya mshikaji wake wa zamani  kwa  kumfananisha  na  mbwa  jike  asiyechoka  kuhaha....