Baada ya ngoma yake ya Kabinti Spesho ya Staa wa Bongo
Fleva,Dully Sykes kufungiwa na serikali kutopingwa kwenye vituo vya
televisheni,kutokana na kutokuwa na maadili ya Kitanzania,amesema
amekata tamaa ya kuwa msanii wa Kimataifa kutokanana kitendo hicho
kumvunja moyo.Kwa mujibu wa msanii huyo amesema hiyo imetokana na
serikali kupitia mamlaka ya mawasiliano TCRA kutoa onyo kwa vituo vya
televisheni zisiipige video hiyo kutokana na kuvunja maadili hasa
maandishi yaliyopo kwenye t-shirt aliyovaa msanii Diamond Platinumz,
pili ni ile swimming costume aliyovaa video queen.
Video nyingine zilizopigwa stop ni pamoja na Uzuri Wako ya Jux, na Nimevurugwa ya Snura.
0 comments:
Post a Comment