Sunday, 16 February 2014

MAKUBWA YAIBUKA "MSANII NISHA AZUIWA KUTOKA NJE"..SOMA ZAIDID KUJUA UKWELI WA SAKATA HILI

STAA wa filamu Bongo, Salma Jabu ‘Nisha’ amezuiwa kutoka nje kutokana na sheria na taratibu zilizopo ndani ya familia yao nyumbani kwao Zanzibar.
 
Salma Jabu ‘Nisha’.
Chanzo makini kimepenyeza habari kuwa, Nisha baada ya kufika nyumbani kwao visiwani Zanzibar, amekuwa hatoki nje kwani nduguze wamemwambia sheria hairuhusu kutokatoka nje bila sababu za msingi.
Nisha alipoulizwa kuhusiana na taarifa hizo, alitiririka:
“Kweli kwetu ni geti kali hakuna kutoka nikishafika huku ni fulu kukaa ndani na kuvaa hijabu mambo ya Dar nayaacha hukohuko hivyo hata sijui kinacho-endelea Dar labda mtu anipigie simu ndiyo napata taarifa,” alisema.

0 comments:

Post a Comment