Sunday, 16 February 2014

PICHA ZA UCHI ZA KAREN WA BBA ZASAMBAA INTERNET

.
Mnigeria Karen ambae alijichukulia mamilioni baada ya kutangazwa mshindi wa shindano la Big Brother Africa 2011 ametumia page yake ya twitter kuomba mtu asiefahamika alieingia kwenye computer yake bila ruhusa kuacha kusambaza picha zake akiwa nusu uchi ambazo zimeanza kusambazwa kwenye internet.

naijagists.com wameripoti kwamba hii ishu imetokea siku kadhaa tu baada ya staa huyu kusema amekua hatongozwi na wanaume kwa sababu wanamuogopa, na akasisitiza kwamba yeye ni mwanamke kama wanawake wengine hivyo asiogopwe.
.

0 comments:

Post a Comment