
Uchunguzi
uliofanywa nchini Uingereza umeendelea kulipandisha chati umbo la
kibantu, kwa kusema kwamba, kuwa na unene zaidi eneo la mapajani, katika
makalio na katika mahips ni vizuri kiafya, na humzuia mtu asipate
matatizo ya kiafya.
Wataalamu wanasema
kuwa, mafuta yanayopatikana katika mahips, huondoa fati asidi mbaya
kiafya ambazo huwa na mada za kuzuia uvimbe ambazo huifanya mishipa ya
damu isizibe. Timu hiyo ya wachunguzi imesema kuwa, makalio makubwa ni bora kuliko mafuta...