Mwanadada Jide kwa sasa yupo kwenye
mazoezi ya Karate ili kuuweka mwili wake uwe vizuri na ujijenge kwa
lolote litakalo kuwa lakijinga mbele yake ili akabiliane nalo. Jide
akitumia account yake ya Facebook ametupia picha hizi ambazo ziko hapa
akiwa na vazi jipyaaaaaaaa kabisa tayari kwa kuyamudu mazoezi hayo.
0 comments:
Post a Comment