“Tsup ma pipoo ninatangaza Rasmi ya kwamba this year mbali na shughuli
za kimuziki pia nitakuwa ninaigiza na kwa kuanza nitakuwepo kwenye
Tamthilia inayo itwa Salt en sugar ni Tamthilia inayoigizwa na wabongo
ila kwa kutumia Lugha ya kiingereza mwanzo mwisho, na kuanzia next week
Nitaanza Tour ya mashuleni ambapo tutaanza na Dr Didas pamoja na St
anthony na kwa anyetaka kununua album compilation ya video zangu itakuwa
available na itauzwa kwa affordable price 5,000 only na kwa watu
wengine mwaweza kuoder that album kwa the same price hadi nitakapo
maliza tour mwanzoni mwa April na kutakuwa na videos kumi pamoja na
2bonus videos 0787 609090 much love!”
0 comments:
Post a Comment