Tendo la ndoa au ngono ndilo tendo la furaha
lililo kuu kwa binadamu.Wakati tendo hilo kwa wanyama lipo kwa ajili ya
kuzaa,kwa upande wa binadamu ni zaidi ya kuzaa.Mapenzi au tendo la ndoa
ni sanaa hivyo inatakiwa ufundi na ubunifu ili kuweza kufurahia tendo
hili.Yafuatayo ni maeneo 12 yenye msisimko na kama mwanaume
utayashughulikia ipasavyo bila shaka mtafurahia uumbaji wake Mungu.
1. MIDOMO YAKE.
Tumia midomo yako,ulimi wako na meno yako kuchezea
mdomo wake wa juu na wa chini na umbusu kwa msisimko mkubwa.Kunyonya
ulimi pia huchangia kuongeza kasi ya mwanamke kwenda kileleni.(usafi wa
kinywa kwa wote wawili ni muhimu).
2. UKE NA KINEMBE.
Tumia kidole chako cha kwanza cha mkono wa kulia
polepole pitisha katika mfereji wa uke ukianzia chini (kutokea kwenye
******) ukipandisha juu,fanya hivyo mara kadhaa.Kutegemea umbo lako na
urefu,unaweza kuchanganya zoezi hili na kunyonya matiti yake na hapo
utaona upumuaji wake ukibadilika na majimaji yakiongezeka kwenye uke.
Kwa kawaida kinembe cha mwanamke kimejificha lakini ukifanya vizuri
zoezi la hapo juu na chenyewe kama uume kitajaa damu na kuinuka.Kinembe
kipo juu kabisa ya mfereji wa uke na kina ukubwa wa harage au kwa
wanawake wengine huwa kidogo zaidi.Tumia kidole chako cha kwanza na
taratibu zungusha zungusha kidole juu ya kinembe,pandisha na kushusha
kidole chako na hapo unaweza kumfikisha kwenye kilele cha utamu wa
mapenzi hata kabla ya hujaiingiza uume. Wanawake wengi watafurahia
ukitumia uume wako uliosimama vizuri kupigapiga eneo la kinembe nah ii
huufanya uume kuwa wa moto na unapomwingilia joto la uume wako litafanya
raha ya tendo hili kuwa kubwa zaidi.
Kinembe ndio sehemu ambayo kwa asilima 80
huhusika na kazi ya kumfikisha mwanamke kileleni na kwa kuwa kinembe
kiko mbali kidogo toka kwenye tundu la uke,sio rahisi kwa uume kukifikia
kinembe,hivyo mwanaume anatakiwa ajisukume kwa makusudi kabisa kwenda
mbele ili shina la uumelisugue kinembe wakati wa kuingia na kutoka kwa
uume.
3. MATITI YAKE.
Matiti yake ni sehemu muhimu sana kwa mwanamke
kama ilivyo kwa uke wake.Utampatia raha kamili mwanamke kama utayapapasa
papasa matiti yake,utayaminyaminya kwa upole wa
kimahaba,utayalambalamba na kuyanyonya.
4. MASIKIO YAKE.
Wanawake wengi hupata burudani masikio yao yanapolambwa au kunyonywa au kupigwa busu.
5. SEHEMU YA NYUMA YA SHINGO
Tumia ulimi wako kulamba sehemu ya shingo yake
kwa mwendo w kutekenya tekenya.Tumia ncha ya ulimi kutekenya tekenya kwa
kufanya mduara na kuendelea kuchora mduara na kurudiarudia.
6. SEHEMU YA NYUMA YA GOTI.
Sehemu ya nyuma ya goti ina miishio mingi ya
mishipa ya fahamu na utashangaa jinsi ammbavyo mwanamke atapata burudani
kwa kuishughulikia vyema sehemu hii.
7. SEHEMU YA NDANI YA MAPAJA.
Tumia ubapa wa kiganja chake kupapasa kwa ulaini
sehemu ya ndani ya mapaja yake,fanya hivyo juu juu huku ukimbusu busu
mapaja yake.
8. ****** YAKE.
Wanawake wengi wanapenda ****** yao yachezewe
kimahaba,anza kwa kuyapapasa papasa,endelea kwa kuyaminya minya kwa
kutumia vidole.
9. MIISHO YAKE.
Miguu yake imejaa miishio ya mishipa ya fahamu
kiasi ambacho baadhi ya wanawake wanaweza kufika katika kilele cha
burudani ya tendo la ndoa kwa miguu yao kusuguliwa na kupapaswa.
10. USO WAKE.
Mwanamke atafurahi sana utakaposhika uso wake
katika hali ya mahaba na huku ukitabasamu.Wakati ukifanya hivyo unaweza
kumbusu midomo yake,mashavu na kwenye paji la uso.
11. HIPS ZAKE.
Sehemu hii ni moja ya sehemu ambazo zitamfanya mwanamke ajisikie amekubalika kabisa iwapo utashika wakati wa tendo la ndoa.
12. G-SPOT
Sehemu hii iko ndani ya uke ambayo inapata hisia
kubwa sana ikibonyezwa bonyezwa,sehemu hii ipo sentimeta 5 kutoka mlango
wa uke na iko katika ukuta wa juu wa uke.Sehemu hii ikibonyezwa na
kuchezewa ipasavyo mwanamke anaweza akapiz mara mbili au zaidi kwa
wakati mmoja.Hii ni njia rahisi ya kumfikisha mwanamke kileleni,mwanaume
aingize kidole kwenye uke na kubonyeza na kusugua sehemu ya juu ya
uke,sehemu hii imekaa kama sponji na huwa ngumu kwa kadiri
inavyobonyezwa.Mwanamke anaweza kujisikia kama anataka kukojoa kabisa na
hawezi kukojoa ila raha atakayopata ni kubwa sana.
NB.Ni muhimu kutambua kuwa sehemu hizi 12 sio
kama msarafu,hutofautiana kutoka mtu na mtu.Suala lililo muhimu sana ni
wawili wapendanao kuwa wawazi na wawe na uhuru wa kuambiana jinsi
wanavyojisikia.
0 comments:
Post a Comment