Thursday, 7 November 2013

SOMA HII...MTU MMOJA AZIKWA AKIWA HAI KWA TUHUMA ZA KUMUUA MTOTO WAKE KWA USHIRIKINA HUKO MBEYA

 


HILI NI KABURI LA MZEE ALIYEZIKWA AKIWA HAI KABURI HILI LITAFUKULIWA KESHO NA POLISI
MOJA YA NDUGU WA MZEE ALIYEZIKWA AKIWA HAI AKIELEZEA KWA KIFUPI JINSI NDUGU YAKE ALIVYOZIKWA AKIWA HAI HABARI KAMILI TUTAWALETEA KESHO MARA BAADA YA KUFUKULIWA MWILI HUO
HILI NI KABURI LA MTOTO WA MZEE ALIYEZIKWA HAI AMBAYE INASEMEKANA BABA YAKE ALIMUUA KIUCHAWI

0 comments:

Post a Comment