X girlfriend wa Prezzo Huddah Monroe amemchafua vibaya mshikaji wake wa
zamani kwa kumfananisha na mbwa jike asiyechoka kuhaha....
Ugomvi huo ulianza baada ya Prezo kuweka picha
hii ( chini ) kwenye instagram ikiwa na caption zinazosema “Funny how sme past dnt wanna be
tense……welcome 2 my future @chaggabarbie #MySize #GodIsInControl
#UnRulyPreStar #Rapcellency”.
Huddah Monroe alishindwa kuvumilia na kuamua kutoa comment nzito
inayosema :
“Una future gani wewe? Mwanaume mzma hela hauna, @Prezzo254 ,
Broke as he’ll still living under ya moms roof…..Wacha kujiaibisha,
sitaki nikuaibishe mbwa koko. Respect yourself!”.
0 comments:
Post a Comment