Mchezo wa ligi kuu ya Vodacom kati ya
Simba na Ashanti UTD umemalizika hivi punde kwa Simba kupata ushindi wa
mabao 4-2,mchezo huo ulipigwa kwenye dimba la uwanja wa taifa jijini Dar
Es Salaam.
mabao ya Simba yamefungwa na Betram
Mwombeki ( 2),Hamis Tambwe na Ramadhan Singano wakati yale ya Ashanti
Utd yakiwekwa kimiani na Mkongwe Said Maulid na Hussein Said.
0 comments:
Post a Comment