Ilikuwa
miaka kadhaa iliyopita nilipoletewa msichana wa kazi maarufu kama house
girl..ukimuangalia kwa sura alionekana mpole na mnyenyekevu.umri wake
haukua mdog sana kwani alikuwa na miaka km 20 ivi wkt huo
alipofika...alipokuja alionekana wazi kuwa ametoka kwenye familia duni
sana kwani hata nguo aliyoivaa ilikuwa imechoka sana..