Wednesday, 19 February 2014

AIBUUU..!! WOLPER NA MASOGANGE WAAMBULIA MATUSI MAZITO INSTAGRAM


Instagram ndiyo sehemu ambayo maumbea yote ya mjini yanapatikana huko hasa kwa wasanii.. Kuna vitu vingi vipo chini chini huko Instagram na muda mwingine kuibua minong'ono mizito tu. huko Insta kuna mtu kafunguka na kuamuwa kuwapa makavu live na matusi mazito Msanii Jackline Wolper au Wolper Gambe kama anavyopenda kujiita na vile vile video Vixen anayevutia kwa midume mingi Agness Masogange.



Nanukuu "Agness masogange jamani unatia sana aibuuu .. Utaosha lini kujiuza kwa bei poaaa We ni mpumbavu wa mwisho yaani unaishi kwa mteremko unashindwa hata kusoma nyakati kabisa!!! Wamekupanda mwisho wakakufanya punda haya sasa uneambulia nini maana unatia huruma demu mkali kama wewe hata kijiko huna , kujulikana kote mjini pa kukaa huna pa kulala huna kula yako shida saloon madeni yamekujaa kutwa kugombana na madereva texi pesa zao huwalipi wewe na taxi bajaji na wewe kutwa kutupia tako lako IG hadi watu wanakuchoka kabla hata hawajakupata kwa tako gani hasa lankukuzwa na camera maana huna tako kubwa kiivyo plus na ufupi yaani ndio huna dili mjini ushachokwaaaaa tulia na evans wako unamuonea kaka wa watu ili tu upate pa kujistiri Mtoto mbaya wewe nyokooo zako.ss hivi ndio umeamua kusagana na wolpeer na kutombwa na Jux Mtoto mchafu wewe wakati Jux akija wa wolper heeeee mjini shughuli ipo ila mwaka wako ni huu tu jaribu kuutumia vizuri maana ikifika mwakani soko lako limeisha dada Jacqliene wa Wolper ... Jamani hakuna mtu anaenguka vibaya kama wolper ! Wewe wolper umetokea kwenye familia masikini wa kutupwa na home kwenu wanakutegemea wewe ulipata kabahati ka Dallas ukakachezea vibayaaa kwa ulimbukeni wa ustar jamani nyie mastar wabongo hua mnatia aibu sana wote akili zenu ki moja mnapendwa kuhongwa bila kuangalia kama majina kwenye kard ni yenu unapewa gari la kifahari jumba unaoangushiwa la kifahari kwa mweZi nyumba dola elfu mbili unalipiwa kodi Ya mwaka sasa wolper mchaga mzima hukutumia akili hiyo kodi Ya nyumba kwa mwaka si ungechukua hiyo pesa ukajenga Leo hii unataabika maana huna kitu sasa hivi We umekua wa kuoanga room moja kinondoni aiii aibu sana kitu ulichibakiwa nacho ni hilo gari lako tu nalo likiharibika ndio umekwishaaa umeenda kujiwekeza kwa geemodel asie nambele wala nyuma Mtoto wa baba baba yake kampa mkopo kaenda kufungua kibutik yupo mjini kwa ajili Ya baba si bora hata ungetembea basi na baba yake huyo Gee tungekuona mjanja ... Mjini pagumu watu wote kimyaaaaa pesa Za sembe ndio zilikua na kelele nyoko zenu........." Mwisho wa  kunukuu

KAMA BADO HUMJUI..!! BASI PATA KUMTAZAMA MCHUMBA WA ADAM MCHOMVU ,BABA JONIII..JIONEE HAPA



Hatimaye Adam Mchumvu aamua kumuweka hadharani mpenzi wake. Tazama picha hizo hapo chini

 

HABARI ZA IVI PUNDE..!! MAPIGANO BAINA YA WAHUNI NA WAENDESHA BODABODA YAENDELEA HUKO MBEZU JUU DAR ES SALAAM

 Hili ni kundi la vijana waendesha bodaboda wakienda mtoni kumwokoa mwenzao ambaye wanadai ametekwa na wahuni wanaojificha mtoni na kukaba watu, mpaka sasa boda boda aliyetekwa yupo mwananyamala hospital na mmoja wa vijana wanaoaaminika kwamba ni vibakaba ameshauawa
Kuna mapigano makali eneo la kwa mzee Juma Kata ya Mbezi juu.
Habari zaidi zionasema kwamba Waendesha Bodaboda hao wanaendelea kupambana kwa kutumia silaha za jadi dhidi ya vijana wanaosemekana aidha 
ni vibaka au wameiba pikipiki ya mwenzao.
Hali ni mbaya majeruhi ni wengi na inasemekana kuna vifo vimetokea.

Unyama! Kijana Amuua Mama yake kwa Kumpiga na Jembe Kichwani huko KAHAMA..!!

Unyama
Katika hali ya kusikitisha ,kuhuzunisha na isiyokuwa ya kawaida kijana mmoja mkazi wa kijiji cha Mwakuhenga wilayani Kahama mkoani Shinyanga amemuua mama yake kwa kumkata na jembe kichwani na kusababisha kifo chake.
Habari kutoka Kahama zinasema tukio hilo limetokea jana majira ya saa mbili usiku na chanzo halisi cha tukio hilo bado hakijajulikana.

Habari kamili kuhusu tukio hili tutakuletea kupitia kwenye blog hii

Tuesday, 18 February 2014

DUU KWELI JAY DEE NI KOMANDO.. !! JIONEE MWENYEWE AKIWA ANAJIFUNZA MAZOEZI YA KARATEE..SI MCHEZOOOO..


1
Mwanadada Jide kwa sasa yupo kwenye mazoezi ya Karate ili kuuweka mwili wake uwe vizuri na ujijenge kwa lolote litakalo kuwa lakijinga mbele yake ili akabiliane nalo. Jide akitumia account yake ya Facebook ametupia picha hizi ambazo ziko hapa akiwa na vazi jipyaaaaaaaa kabisa tayari kwa kuyamudu mazoezi hayo.
2 1620371_10151884058550025_157352848_n 1620371_10151884058555025_1162627868_n 1620371_10151884058560025_398914761_n 1620371_10151884058570025_1572292483_n 1795712_10151884060055025_1693579565_n 1795712_10151884060060025_712508850_n 1920138_10151884055860025_1027586722_n 1920138_10151884055865025_381086737_n 1920138_10151884055870025_827558846_n 1920138_10151884055875025_826168624_n

DIAMOND NI NOMAAAAA..!! TAZAMA JISI ALIVYOMFUNDISHA D'BANJI KUCHEZA NGOLOLO AKIWA SOUTH AFRICA

PICHA MBALI MBALI NIKIWA NA D-BANJ NCHINI SOUTH AFRICA

 Ngololo master pale coco master....!!!

 Babu Tale,Salam na Dbanj
Interview Redion nikiwa na Vic.kiman wa Kenya na Dbanj


SAMAHANI KWA PICHA HIZI..........BUT NDIYO MAISHA YA WANAFUNZI MAHOSTELI.....

NI AIBU KUYAGEUZA MAISHA YA SHULE KUWA KAMBI YA MAPENZI

Siku hizi ni kawaida kwa wanafunzi kupiga picha chafu kwa kisingizio cha ugumu wa maisha.......

Mbali na kisingizio hicho, wapo pia ambao hupiga kwa lengo la kutafuta umaarufu na wapo pia ambao hupigwa na wapenzi wao pasipo kukusudia........

Haijalisha alipigwa na mpenzi wake au alijipiga bila kukusudia.Sote tunajua,mwanafunzi ni sawa na kioo cha jamii maana hao ndo viongozi wa taifa la kesho.....Iko haja ya kubadilika