Wednesday, 19 February 2014

HABARI ZA IVI PUNDE..!! MAPIGANO BAINA YA WAHUNI NA WAENDESHA BODABODA YAENDELEA HUKO MBEZU JUU DAR ES SALAAM

 Hili ni kundi la vijana waendesha bodaboda wakienda mtoni kumwokoa mwenzao ambaye wanadai ametekwa na wahuni wanaojificha mtoni na kukaba watu, mpaka sasa boda boda aliyetekwa yupo mwananyamala hospital na mmoja wa vijana wanaoaaminika kwamba ni vibakaba ameshauawa
Kuna mapigano makali eneo la kwa mzee Juma Kata ya Mbezi juu.
Habari zaidi zionasema kwamba Waendesha Bodaboda hao wanaendelea kupambana kwa kutumia silaha za jadi dhidi ya vijana wanaosemekana aidha 
ni vibaka au wameiba pikipiki ya mwenzao.
Hali ni mbaya majeruhi ni wengi na inasemekana kuna vifo vimetokea.

Unyama! Kijana Amuua Mama yake kwa Kumpiga na Jembe Kichwani huko KAHAMA..!!

Unyama
Katika hali ya kusikitisha ,kuhuzunisha na isiyokuwa ya kawaida kijana mmoja mkazi wa kijiji cha Mwakuhenga wilayani Kahama mkoani Shinyanga amemuua mama yake kwa kumkata na jembe kichwani na kusababisha kifo chake.
Habari kutoka Kahama zinasema tukio hilo limetokea jana majira ya saa mbili usiku na chanzo halisi cha tukio hilo bado hakijajulikana.

Habari kamili kuhusu tukio hili tutakuletea kupitia kwenye blog hii

Tuesday, 18 February 2014

DUU KWELI JAY DEE NI KOMANDO.. !! JIONEE MWENYEWE AKIWA ANAJIFUNZA MAZOEZI YA KARATEE..SI MCHEZOOOO..


1
Mwanadada Jide kwa sasa yupo kwenye mazoezi ya Karate ili kuuweka mwili wake uwe vizuri na ujijenge kwa lolote litakalo kuwa lakijinga mbele yake ili akabiliane nalo. Jide akitumia account yake ya Facebook ametupia picha hizi ambazo ziko hapa akiwa na vazi jipyaaaaaaaa kabisa tayari kwa kuyamudu mazoezi hayo.
2 1620371_10151884058550025_157352848_n 1620371_10151884058555025_1162627868_n 1620371_10151884058560025_398914761_n 1620371_10151884058570025_1572292483_n 1795712_10151884060055025_1693579565_n 1795712_10151884060060025_712508850_n 1920138_10151884055860025_1027586722_n 1920138_10151884055865025_381086737_n 1920138_10151884055870025_827558846_n 1920138_10151884055875025_826168624_n

DIAMOND NI NOMAAAAA..!! TAZAMA JISI ALIVYOMFUNDISHA D'BANJI KUCHEZA NGOLOLO AKIWA SOUTH AFRICA

PICHA MBALI MBALI NIKIWA NA D-BANJ NCHINI SOUTH AFRICA

 Ngololo master pale coco master....!!!

 Babu Tale,Salam na Dbanj
Interview Redion nikiwa na Vic.kiman wa Kenya na Dbanj


SAMAHANI KWA PICHA HIZI..........BUT NDIYO MAISHA YA WANAFUNZI MAHOSTELI.....

NI AIBU KUYAGEUZA MAISHA YA SHULE KUWA KAMBI YA MAPENZI

Siku hizi ni kawaida kwa wanafunzi kupiga picha chafu kwa kisingizio cha ugumu wa maisha.......

Mbali na kisingizio hicho, wapo pia ambao hupiga kwa lengo la kutafuta umaarufu na wapo pia ambao hupigwa na wapenzi wao pasipo kukusudia........

Haijalisha alipigwa na mpenzi wake au alijipiga bila kukusudia.Sote tunajua,mwanafunzi ni sawa na kioo cha jamii maana hao ndo viongozi wa taifa la kesho.....Iko haja ya kubadilika

JUA JINSI YA KUMTOA MSICHANA USICHANA WAKE (BIKRA) BILA MAUMIVU


Habari zenu wapendwa,last night nilikuwa nago through my emails,nikakuta kuna email kutoka kwa 1 of my female fans,aliituma kama wiki moja iliyopita,aliniambia kuwa yeye bado ni bikira lakini kuna mtu ametokea kumpenda na anataka kupeana nae Raha na Utamu kwa mara ya kwanza katika Maisha yake,kwa hiyo akaniuliza maswali mawili,swali la kwanza alikuwa anataka kujua jinsi ya kumridhisha boyfriend wake,alikuwa anataka kujua mambo muhimu kwa sababu hana experience.


aliuliza Jinsi ya kupeana Raha na Utamu bila Maumivu kwa kuwa yeye bado bikira,so jibu lake ndio hii Post yenyewe. 

Ingawa asilimia kubwa ya wanawake au wasichana,hupata maumivu pale wanapokuwa wanatolewa bikira zao,wapo ambao hawapati maumivu kabisa na pia wapo ambao hupata maumivu kidogo sana kulingana na hizo bikira wanatolewa na Mwanaume gani na huyo Mwanaume anajali(care) kiasi gani. 
Yapo Mambo ambayo ukifanya,kuna uwezekano mkubwa sana wa kutopata Maumivu wakati unatolewa bikira,na hata kama ukipata Maumivu basi yanakuwa kidogo sana tofauti na marafiki zako wa kike ambao kila siku wanakuambia kuwa inauma sana kitu ambacho sio kizuri kisaikolojia(psychologically),kwani wanakuwa wanazidisha uoga Ndani ya akili na Nafsi yako,na ukiruhusu Uoga ukutawale then obviously lazima utaexperience the same pain kama wao(which you shouldnt coz tendo linaitwa Raha na Utamu,na sio Raha na Maumivu) 
Baadhi ya mambo inabidi afanye Mwanamke na mengine afanye Mwanaume,so itapendeza kama hii post msome wote,au soma peke ako kisha utamwambia kitu gani anatakiwa kufanya,mambo yenyewe ni kama ifuatavyo, 

1.JARIBU KUWA COMFORTABLE NA ASHKI ZAKO (TRY TO BE COMFORTABLE WITH YOUR OWN SEXUALITY) 
Wanawake/wasichana wengi wenye bikira wanakuwa hawana elimu ya kutosha kuhusu miili yao. Na kitendo cha kutojua kinajenga uoga na mwisho wake huo uoga unaongeza maumivu wakati wa kupeana Raha na Utamu kwa mara ya kwanza.(kisaikolojia/psychologically)
Uoga ukizidi sana,utasababisha kupunguza na kumaliza kujiamini kwako,kitu ambacho kisaikolojia,kitasababisha misuli ya uke wako izidi kukaza(clench),na uwezekano wa kukabiliana na Maumivu unakuwa mkubwa zaidi. 
Badala ya kuacha uoga utawale mawazo yako,unatakiwa utafute njia za kurelax na ujifunze zaidi kuhusu hamu,ashki,hisia pamoja na mwili wako jinsi utakavyofanya kazi wakati wa kupeana Raha na Utamu,ili uweze kujiamini zaidi,na kujiamini kwako kutapunguza au kumaliza kabisa maumivu wakati wa kupeana Raha na Utamu,Zifuatazo ni baadhi ya mbinu ambazo unaweza kuzitumia kwa ajili ya kujifunza zaidi, 

  • Soma zaidi,tafuta vitabu vya kimapenzi na hata search kwenye internet ili uweze kujua kitu gani kinaingia wapi,kitu gani ni kawaida na kitu gani unatakiwa kutarajia(what you shuld expect).  Ukishajua itasaidia sana kupunguza na hata kumaliza kabisa wasiwasi wako kuhusu kupeana Raha na Utamu kwa mara ya kwanza.
  •  
  • Elewa Mwili wako,unatakiwa uelewe mwili wako especially kama Mwanaume/Mvulana atakaekuwa anaitoa hiyo bikira,na yeye hajawahi kufanya au hana experience yoyote kuhusu Mwili wa Mwanamke,yaani namaanisha kama hajui wapi akutomase(caress),wapi akulambe na wapi akutekenye(tickle) etc.      Na Njia pekee ya kuufahamu na kuujua Mwili wako kwa uhakika na kwa urahisi zaidi,ni kupitia KUJICHUA(MASTURBATION/WANKING)
  •  
           Tafuta Muda ambao utakuwa peke ako,Vua nguo zako zote,jilaze kitandani,anza kujishikashika na kujitomasa wewe mwenyewe kuanzia kwenye matiti,mapaja mpaka kwenye uke. Wakati ukiwa unajishikashika na kujitomasa mwenyewe,utaona na kugundua kuwa katika mwili wako,sehemu zenye 'Hamu' zinatofautiana kiwango cha kukupa Raha. 
Sasa zile Sehemu ambazo ulienjoy zaidi,unaweza ukamwambia boyfriend wako azitumie wakati anakutoa bikira ili usipate maumivu kabisa au hata kama ukipata yawe kidogo sana.
  • Approach Sex With A Positive Attitude,Ili kuondoa kabisa Uoga,basi hakikisha huo uamuzi wa kuitoa bikira yako,uwe umetoka Ndani ya Moyo kwa hiari yako mwenyewe,Kama unajiona unapata msongo wa mawazo(stress) juu ya kufanya uamuzi wa kuitoa bikira yako,basi ujue kuna uwezekano mkubwa kuwa Mwili na hata akili,vyote havipo teyari.
  •  
  •  Ukilazimisha ndio hapo unajikuta unapata maumivu. Ila kama ni uamuzi wako mwenyewe,hakuna aliyekulazimisha na unajiona upo teyari kuitoa,sio kwa ajili ya kumfurahisha Mpenzi wako tu,lakini pia unatakiwa uone hii step kama Daraja la kuvuka kwenye Maisha yako ya kimapenzi linalokutoa sehemu moja na kukupeleka sehemu nyingine

YEEEEE...!!UTAMU WA MUA UKIKUTANA NA KIFUNDO SHTUKA JAMANI MTOTO WA KIKE EEH...





Leo wanawake wenzangu kwenye safu yetu hii pendwa nimewaletea mada moja nzito ambayo ukiiendekeza unavunja nyumba yako hivihivi unajiona.   

Hata kama kuna kisa kilichosababisha mgombane, usiruhusu hali hiyo itokee, mwanamke mwenzangu fahamu ugomvi ndani ya nyumba ni mgeni wa kuingia na kutoka, ni shetani huyu, usimruhusu kwako. 


Pia elewa mwanamke mwenzangu kuwa ndoa ni kifundo cha mua, unapoutafuna unakuwa mtamu, ikiwa wakati ule unapoutafuna na kuusikia kuwa ni mtamu ndiyo wakati wa raha na starehe katika ndoa.

Bata’ zote unazokutana nazo siku za mwanzo wa ndoa yako zinatakiwa kuendelezwa siku zote, mtaambiana tukale bata huku au kule.

Mnaweza kujikuta mnasema leo twende hotelini na mahaba yetu tukamalizie huko,  huo ndiyo wakati wa mua mtamu lakini kuna siku utakutana na fundo kubwa katika mua na siku hiyo utabaini mgeni katika ndoa yenu na si mwingine ni ugomvi.

Mgeni huyo ni kama fundo la mua. Ikiwa wewe utaruhusu huo ugomvi uendelee kwa muda wa mwezi, je ndiyo utamnyima mumeo unyumba kwa siku zote hizo? 

Dini zote mbili kunyimana unyumba ni dhambi. Lakini hata kisheria ni kosa kubwa sana. Je, unataka mumeo aende wapi? akapate burudani kama atakayopata kwako wewe mkewe kwa nani?

Kama mwezi mzima wewe utakuwa ‘unamchunia’ eti kwa sababu amekuudhi na hutaki kurudisha mapenzi na kumsamehe mumeo kosa linalosameheka unadhani atafanya nini? 

Kumbuka kuwa hakuna kosa lisilosameheka kwenye ndoa na ulishakula kiapo kanisani au kwa shehe kwamba mtavumiliana kwa shida na raha. Vitabu vitakatifu pia vinasema msamehe aliyekukosea sabamara sabini!

Wanawake wenzangu mpo wengi wenye tabia hizo, mwanaume akikukosea kidogo tu fimbo ndiyo hilo la kumnyima unyumba. Ndoa tamu bibi, asikwambie mtu. Watu wanakesha wakizitafuta ndoa kwa waganga, makanisani na misikitini. Wengine hospitali kwa kusafisha vizazi, wewe umepata halafu unaichezea? Acha hizo.

Leo mumeo unampa adhabu hiyo, atabebwa juu kwa juu huyo! Atakwenda kutafuta burudani nje utapata faida gani? Halooooo shauri yako, utakuja kuchekwa Heheeeeee, utalijua jiji!