Sunday, 9 March 2014

IJUE SIRI YA MATAKO MAKUBWA!!!


Uchunguzi uliofanywa nchini Uingereza umeendelea kulipandisha chati umbo la kibantu, kwa kusema kwamba, kuwa na unene zaidi eneo la mapajani, katika makalio na katika mahips ni vizuri kiafya, na humzuia mtu asipate matatizo ya kiafya.
Wataalamu wanasema kuwa, mafuta yanayopatikana katika mahips, huondoa fati asidi mbaya kiafya ambazo huwa na mada za kuzuia uvimbe ambazo huifanya mishipa ya damu isizibe. Timu hiyo ya wachunguzi imesema kuwa, makalio makubwa ni bora kuliko mafuta ya zaida yanayojilundika katika mzunguko wa kiuno, ambayo hayasaidii chochote.Wachunguzi hao wamesema katika Jarida la Kimataifa la Obesiti kwamba, sayansi inapaswa kuangalia jinsi ya kuongeza mafuta katika eneo la mahips na pengine katika siku zijazo madaktari watatakiwa kuangalia njia za kuyahamisha mafuta mwilini na kuyapalekea katika sehemu za mahips ili kulinda afya za watu kutokana na magonjwa ya mishipa ya moyo na magonjwa mengineyo kama kisukari.  

Watafiti hao wameeleza kwamba, kuwa na mafuta kidogo katika hips kunaweza kupelekea matatizo makubwa ya umetaboli.
Wataalamu hao wameendelea kusema kwamba, ushahidi unaonyesha kwamba, mafuta yanayozunguka mapaja na sehemu za nyuma ni vigumu kuyeyuka kuliko yale yaliyo katika kiuno.
 

Ingawa suala hilo linaonekama kana kama ni kinyume, lakini ni kweli kwamba kutoyeyuka huko kuna faida kwani, wakati mafuta yanapoyeyuka kwa urahisi hutoa mada inayoitwa cytokines ambayo huleta uvimbe katika mwili.Mada za cytokines zinahusiana moja kwa moja na magonjwa ya moyo na kisukari.Kuyeyuka taratibu kwa mafuta katika mapaja pia husababisha homoni ya adiponectin izalishwe kwa wingi na husaidia kudhibiti sukari katika damu na jinsi mafuta yanavyochomeka. 

Dakta Konstantinos Manolopoulos aliyeongoza utafiti huo kutoka chuo kikuu cha Oxford amesema kuwa, la muhimu ni umbo na wapi mafuta yanakusanyika, na kwamba unene wa mahips na mapaja ni mzuri kuliko unene wa tumbo.

Friday, 7 March 2014

HUU NDIYO UKWELI KUHUSU BINTI WA RAISI MUSEVEN NA KUJIHUSISHA NA USAGAJI...

Abril Uno, ni jina lenye maana ya ’1 April’ kwa Kihispania, ambayo ni siku ya wajinga.Ile taarifa iliyoonekana kuchanganya watu na kutokana na kusambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii hapo jana ya kwamba mtoto wa kike wa Rais wa Uganda alijitangaza kuwa ni msagaji, taarifa hiyo sio ya kweli.
Imeelezwa kwamba habari hiyo ilianzia kwenye mtandao mmoja wa nchini Marekani itwao Abril Uno, ambao uliandika habari hiyo wiki iliyopita siku ya Jumatano.
Kwenye tarifa yake mtandao huo ulitania kwa kuandika kwamba Diana Kamuntu, mtoto wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni, amejitangaza kuwa ni msagaji kwenye mahojiano na kituo kimoja cha redio.
Taarifa hiyo ilisema: “Mimi ni msagaji, ninafanya mapenzi ya jinsia moja. Nimelijua hilo toka nilivyokuwa msichana mdogo,” taarifa ilimnukuu Kamuntu.
Kwenye mtandao wa Abril Uno ulimtaja muendesha kipindi wa redio hiyo James Kasirivu, kuwa ndiye aliyekuwa akifanya mahojiano hayo, na kusema kwamba “alipatwa na mshangao na mpaka aliishiwa na maneno ya kuongea toka kinywani mwake.”
Maelezo hayo yalisambaa kwenye mitandao mingi Duniani, huku wengine kuitoa na wengine kuiacha.
Watu wengi waliguswa na taarifa hiyo huku baadhi yao wakiandika kwenye kurasa zao za Twitter katika hali ya kumuunga mkono Kamuntu:

JE WAZIJUA SEHEMU ZAKUMPA MPENZI WAKO MAHABA AMBAYO HATAKAA KUSAHAU........? SOMA HAPA KUZIJUA.......!!


 
Tendo la ndoa au ngono ndilo tendo la furaha lililo kuu kwa binadamu.Wakati tendo hilo kwa wanyama lipo kwa ajili ya kuzaa,kwa upande wa binadamu ni zaidi ya kuzaa.Mapenzi au tendo la ndoa ni sanaa hivyo inatakiwa ufundi na ubunifu ili kuweza kufurahia tendo hili.Yafuatayo ni maeneo 12 yenye msisimko na kama mwanaume utayashughulikia ipasavyo bila shaka mtafurahia uumbaji wake Mungu.


1. MIDOMO YAKE. Tumia midomo yako,ulimi wako na meno yako kuchezea mdomo wake wa juu na wa chini na umbusu kwa msisimko mkubwa.Kunyonya ulimi pia huchangia kuongeza kasi ya mwanamke kwenda kileleni.(usafi wa kinywa kwa wote wawili ni muhimu).
2. UKE NA KINEMBE. Tumia kidole chako cha kwanza cha mkono wa kulia polepole pitisha katika mfereji wa uke ukianzia chini (kutokea kwenye ******) ukipandisha juu,fanya hivyo mara kadhaa.Kutegemea umbo lako na urefu,unaweza kuchanganya zoezi hili na kunyonya matiti yake na hapo utaona upumuaji wake ukibadilika na majimaji yakiongezeka kwenye uke. Kwa kawaida kinembe cha mwanamke kimejificha lakini ukifanya vizuri zoezi la hapo juu na chenyewe kama uume kitajaa damu na kuinuka.Kinembe kipo juu kabisa ya mfereji wa uke na kina ukubwa wa harage au kwa wanawake wengine huwa kidogo zaidi.Tumia kidole chako cha kwanza na taratibu zungusha zungusha kidole juu ya kinembe,pandisha na kushusha kidole chako na hapo unaweza kumfikisha kwenye kilele cha utamu wa mapenzi hata kabla ya hujaiingiza uume. Wanawake wengi watafurahia ukitumia uume wako uliosimama vizuri kupigapiga eneo la kinembe nah ii huufanya uume kuwa wa moto na unapomwingilia joto la uume wako litafanya raha ya tendo hili kuwa kubwa zaidi. Kinembe ndio sehemu ambayo kwa asilima 80 huhusika na kazi ya kumfikisha mwanamke kileleni na kwa kuwa kinembe kiko mbali kidogo toka kwenye tundu la uke,sio rahisi kwa uume kukifikia kinembe,hivyo mwanaume anatakiwa ajisukume kwa makusudi kabisa kwenda mbele ili shina la uumelisugue kinembe wakati wa kuingia na kutoka kwa uume.
3. MATITI YAKE. Matiti yake ni sehemu muhimu sana kwa mwanamke kama ilivyo kwa uke wake.Utampatia raha kamili mwanamke kama utayapapasa papasa matiti yake,utayaminyaminya kwa upole wa kimahaba,utayalambalamba na kuyanyonya.
4. MASIKIO YAKE. Wanawake wengi hupata burudani masikio yao yanapolambwa au kunyonywa au kupigwa busu.
5. SEHEMU YA NYUMA YA SHINGO Tumia ulimi wako kulamba sehemu ya shingo yake kwa mwendo w kutekenya tekenya.Tumia ncha ya ulimi kutekenya tekenya kwa kufanya mduara na kuendelea kuchora mduara na kurudiarudia.
6. SEHEMU YA NYUMA YA GOTI. Sehemu ya nyuma ya goti ina miishio mingi ya mishipa ya fahamu na utashangaa jinsi ammbavyo mwanamke atapata burudani kwa kuishughulikia vyema sehemu hii.
7. SEHEMU YA NDANI YA MAPAJA. Tumia ubapa wa kiganja chake kupapasa kwa ulaini sehemu ya ndani ya mapaja yake,fanya hivyo juu juu huku ukimbusu busu mapaja yake.
8. ****** YAKE. Wanawake wengi wanapenda ****** yao yachezewe kimahaba,anza kwa kuyapapasa papasa,endelea kwa kuyaminya minya kwa kutumia vidole.
9. MIISHO YAKE. Miguu yake imejaa miishio ya mishipa ya fahamu kiasi ambacho baadhi ya wanawake wanaweza kufika katika kilele cha burudani ya tendo la ndoa kwa miguu yao kusuguliwa na kupapaswa.
10. USO WAKE. Mwanamke atafurahi sana utakaposhika uso wake katika hali ya mahaba na huku ukitabasamu.Wakati ukifanya hivyo unaweza kumbusu midomo yake,mashavu na kwenye paji la uso.
11. HIPS ZAKE. Sehemu hii ni moja ya sehemu ambazo zitamfanya mwanamke ajisikie amekubalika kabisa iwapo utashika wakati wa tendo la ndoa.



12. G-SPOT Sehemu hii iko ndani ya uke ambayo inapata hisia kubwa sana ikibonyezwa bonyezwa,sehemu hii ipo sentimeta 5 kutoka mlango wa uke na iko katika ukuta wa juu wa uke.Sehemu hii ikibonyezwa na kuchezewa ipasavyo mwanamke anaweza akapiz mara mbili au zaidi kwa wakati mmoja.Hii ni njia rahisi ya kumfikisha mwanamke kileleni,mwanaume aingize kidole kwenye uke na kubonyeza na kusugua sehemu ya juu ya uke,sehemu hii imekaa kama sponji na huwa ngumu kwa kadiri inavyobonyezwa.Mwanamke anaweza kujisikia kama anataka kukojoa kabisa na hawezi kukojoa ila raha atakayopata ni kubwa sana.
NB.Ni muhimu kutambua kuwa sehemu hizi 12 sio kama msarafu,hutofautiana kutoka mtu na mtu.Suala lililo muhimu sana ni wawili wapendanao kuwa wawazi na wawe na uhuru wa kuambiana jinsi wanavyojisikia.

WABUNGE WA KENYA WATOA SHERIA KALI DHIDI YA USHOGA..SOMA HAPA KUJUA

0D98A571-4400-40D3-A062-4D096BA8DF8E_w640_r1_s_5c8a9.jpg
Mwandishi vitabu Binyavanga Wainaina aliyetangaza majuzi kuwa anashiriki mapenzi ya jinsia moja
Mbunge Irungu Kang'ata anaongoza juhudi za kundi lililoundwa majuzi la kupinga wapenzi wa jinsia moja nchini Kenya. Sheria zilizopo zasema ni hatia kwa watu kujiingiza katika tabia za ushoga na adhabu yake ni kifungo cha miaka 14 jela.
Kenya huenda ikawa nchi inayofuata kwenye utata unaohusiana na haki za wapenzi wa jinsia moja, huku wabunge wakipanga kuwasilisha mswada bungeni kushinikiza serikali kufanya juhudi zaidi kutekeleza sheria zilizomo za kupiga marufuku ushoga.
Nao wanaharakati wa kutetea haki za wapenzi wa jinsia moja wanasema shinikizo limeongezeka tangu nchi jirani ya Uganda kupitisha sheria dhidi ya mashoga mwezi jana.
Irungu Kang'ata, ambaye ni mbunge kwa mara ya kwanza anaongoza juhudi za kundi lililoundwa majuzi la kupinga wapenzi wa jinsia moja nchini Kenya. Katika kampeni wazi kabisa mbunge huyo ameomba chama tawala kuelezea serikali inachukua hatua gani kutekeleza sheria zilizopo dhidi ya mashoga.
Sheria zilizopo nchini Kenya zinasema ni hatia kwa watu kujiingiza katika tabia za ushoga na adhabu yake ni kifungo cha miaka 14 jela. Hakuna aliyewahi kushtakiwa nchini humo, lakini wanaharakati wanasema kuna kesi takriban 8 mahakamani ambazo hazijaamuliwa.
Kundi hilo linalopinga wapenzi wa jinsia moja liliundwa majuzi wakati rais wa nchi jirani ya Uganda Yoweri Museveni alipotia saini sheria dhidi ya wapenzi wa jinsia moja mwezi Februari, licha ya shinikizo kutoka kwa nchi za Magharibi asitie saini.Sasa ushoga huko Uganda ni kosa linaloweza kuadhibiwa kwa kifungo cha maisha jela.
Mbunge Kang'ata anasema anataka kuwasilisha mswada mpya utakaokuwa na adhabu kali zaidi nchini Kenya ikiwa bunge litaamua kuwa sheria zilizopo hivi sasa hazitoshi. Na anawashauri mashoga wajiepushe na matatizo haya kwa 'kufyata midomo'.
Lakini kwa mkurugenzi wa kundi la kitaifa la tume ya haki za mashoga Kenya, Eric Gitari anasema shinikizo hili dhidi ya wapenzi wa jinsia moja ni njia moja ya kugubika matatizo ya kisiasa yaliyomo na ukiukwaji wa haki za kibinafsi.
Gitari ambaye ni wakili wa kutetea haki za binadamu, anapinga pendekezo kwamba wapenzi wa jinsia moja wakae kimya, akisisitiza kuwa ni wanasiasa wanaolieneza swala hili kwa umma. Kama mwanamume ambaye ni shoga anasema mara nyingi anajihisi kama raia wa daraja la pili.
Naye mwanaharakati wa kibinafsi Kenne Mwikya, anasema hisia nchini Kenya zinaweka mazingira yafaayo kwa watu kama mbunge Irungu Kang'ata kuamua kuwa wanapaswa kubuni sheria mpya dhidi ya wapenzi wa jinsia moja au kutekeleza sheria zizilizopo.