Sunday, 9 March 2014

IJUE SIRI YA MATAKO MAKUBWA!!!

Uchunguzi uliofanywa nchini Uingereza umeendelea kulipandisha chati umbo la kibantu, kwa kusema kwamba, kuwa na unene zaidi eneo la mapajani, katika makalio na katika mahips ni vizuri kiafya, na humzuia mtu asipate matatizo ya kiafya. Wataalamu wanasema kuwa, mafuta yanayopatikana katika mahips, huondoa fati asidi mbaya kiafya ambazo huwa na mada za kuzuia uvimbe ambazo huifanya mishipa ya damu isizibe. Timu hiyo ya wachunguzi imesema kuwa, makalio makubwa ni bora kuliko mafuta...

Friday, 7 March 2014

HUU NDIYO UKWELI KUHUSU BINTI WA RAISI MUSEVEN NA KUJIHUSISHA NA USAGAJI...

Abril Uno, ni jina lenye maana ya ’1 April’ kwa Kihispania, ambayo ni siku ya wajinga.Ile taarifa iliyoonekana kuchanganya watu na kutokana na kusambaa kwa kasi kwenye mitandao ya kijamii hapo jana ya kwamba mtoto wa kike wa Rais wa Uganda alijitangaza kuwa ni msagaji, taarifa hiyo sio ya kweli. Imeelezwa kwamba habari hiyo ilianzia kwenye mtandao mmoja wa nchini Marekani itwao Abril Uno, ambao uliandika habari hiyo wiki iliyopita siku ya Jumatano. Kwenye tarifa yake mtandao huo ulitania...

JE WAZIJUA SEHEMU ZAKUMPA MPENZI WAKO MAHABA AMBAYO HATAKAA KUSAHAU........? SOMA HAPA KUZIJUA.......!!

  Tendo la ndoa au ngono ndilo tendo la furaha lililo kuu kwa binadamu.Wakati tendo hilo kwa wanyama lipo kwa ajili ya kuzaa,kwa upande wa binadamu ni zaidi ya kuzaa.Mapenzi au tendo la ndoa ni sanaa hivyo inatakiwa ufundi na ubunifu ili kuweza kufurahia tendo hili.Yafuatayo ni maeneo 12 yenye msisimko na kama mwanaume utayashughulikia ipasavyo bila shaka mtafurahia uumbaji wake Mungu. 1. MIDOMO YAKE. Tumia midomo yako,ulimi wako na meno yako kuchezea mdomo wake wa juu na...

WABUNGE WA KENYA WATOA SHERIA KALI DHIDI YA USHOGA..SOMA HAPA KUJUA

Mwandishi vitabu Binyavanga Wainaina aliyetangaza majuzi kuwa anashiriki mapenzi ya jinsia moja Mbunge Irungu Kang'ata anaongoza juhudi za kundi lililoundwa majuzi la kupinga wapenzi wa jinsia moja nchini Kenya. Sheria zilizopo zasema ni hatia kwa watu kujiingiza katika tabia za ushoga na adhabu yake ni kifungo cha miaka 14 jela. Kenya huenda ikawa nchi inayofuata kwenye utata unaohusiana na haki za wapenzi wa jinsia moja, huku wabunge wakipanga kuwasilisha...

Saturday, 22 February 2014

KWA NINI WANAUME WENGI SIKU HIZI HAWAPENDI KUOA...?? SOMA HAPA KUJUA SABABU..

Kumekuwa na maswali yasiyo na majibu miongoni mwa jamii kwamba imekuaje vijana wa kiume wamekuwa ni waongo sana hasa linapokuja swala la kuoa? Kwa kadiri siku zinavyozidi kwenda ndivyo ambavyo idadi ya wanaume wanaoogopa kuoa inazidi kuongezeka. Utakuta wapenzi wanaambiana kwamba wanapendana na kuahidiana kuwa wataoana, lakini kitakachotokea baada ya hapo ni mwanaume kuanza kupiga chenga kwa visingizio lukuki. Kwa nini hali hiyo hutokea? Ukweli ni kwamba hakuna jibu la moja kwa moja juu...

NENO MOJA LATOSHA KUVUNJA NDOA...!! SOMA HAPA..

Kubishana sawa, lakini tuchunge kauli zetu! Wote sisi, kama binadamu huwa tunashikwa na hasira kutoka muda fulani hadi mwingine, lakini kushikwa na hasira na kuziacha hasira hizo ziwaumize wale tunaodai kuwa tunawapenda ni jambo tofauti sana. Tunapojikuta tunashindwa kuzuia kulipukwa na hasira dhidi ya wale tunaowapenda mara kwa mara, inapasa tujue pia kwamba tunaujeruhi uhusiano wetu na baadae tutauuwa kabisa. Kuna wakati kwa sababu mbalimbali, baadhi yetu huwa tunajikuta tukitaka...

DIAMOND KUHUDHURIA TUZO ZA 'AFRIMMA' ZITAKAZOFANYIKA TEXAS MAREKANI, ZITAHUSISHA WASANII WAKUBWA AFRIKA..

July 26 mwaka huu, wasanii wengi wakubwa Afrika kutoka katika mataifa ya 17 watakutana Dallas, Texas, Marekani kuhudhuria utoaji wa tuzo za kiafrika zinazojulikana kama ‘AFRIMMA Awards’, na tayari Diamond Platinumz tayari ameshaonesha uthibitisho wa kuwa katika daftari la mahudhurio siku hiyo.   Diamond amepost kwenye Instagram video inayomuonesha akifanya promo maalum iliyoandaliwa na watayarishaji akiwaambia mashabiki kwa swag za kimarekani kuwa atakuwepo siku hiyo, na kisha...

JE UNAZIJUA MBINU ZA KUMUACHA MKE MKOROFI....?? SOMA HAPA KUJUA..

Kuna wanaume ambao wametokea kuoa wanawake ambao wana tabia mbaya . ninaposema kuwa na tabia mbaya sina maana ya mwanamke kuwa Malaya, maana hiyo ni fasili rahisi ya tabia mbaya kwa watu walio wengi. Ninaposema tabia mbaya nina maana kwenda kinyume na matarajio ya mume na pengine hata kwenda kinyume na matarajio ya jamii. Mwanamke ambaye ana tabia kama ghubu, mdomo mdomo (mkosoaji), mtapanyaji wa mali, mpenda makuu na tabia nyingine za aina hiyo, ni mwanamke ambaye kwa kiasi kikubwa anaweza...

FUMANIZI..!! MUME AFUMANIWA NA MWANAMKE MWINGINE CHUMBANI ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,

Fumanizi la aina yake lilitokea juzikati asubuhi ya saa 2, Mtaa wa Mbwela, Tandika jijini Dar ambapo mjamzito aliyejulikana kwa jina la Semeni  alipata ‘kichaa’ cha muda baada ya kumfumania mumewe, Dullah akiwa na mwanamke  mwingine chumbani kwao. Akisimulia mkasa huo, Semeni mwenye ujauzito wa miezi 6 alisema kabla ya tukio aligombana na mumewe akarudi kwao kwa muda wa siku mbili lakini walikuwa wakiwasiliana mpaka asubuhi ya tukio ambapo alimpigia simu kumwambia...

Friday, 21 February 2014

Huyu Ndiye Kimwana Anayedaiwa Kuwaambukiza ‘UKIMWI’ Mastaa Nchini Kenya…!!

Kupitia mtandao wa Kenyan Post, hivi karibuni walipost stori ya mwanadada mwenye umri wa miaka 16 ambaye aitwaye vanesa chettle ilidaiwa kuwa ni mwathirika wa ugonjwa wa Ukwimwi na amekuwa akiwaambukiza kwa makusudi mastaa wa nchini humo.Msichana huyo inasemekana ameshafanya mapenzi na watangazaji wa kituo kimoja cha radio ambao ni Shafie Weru na Nick Mutuma, pia ameshafanya mapenzi na mwigizaji Effy, na sasa mwanadada huyo mwenye umri wa miaka 16 anaishi...

ABU KIBA AFUNGUKA SABABU ZA KAKA YAKE "ALI KIBA" KUWA KIMYAA..SOMA HAPA KUZIJUA

  Ali Kiba, mwimbaji aliyewahi hutajwa na mfalme wa R&B duniani Robert Kelly kama mmoja kati wa wasanii wenye sauti poa zaidi katika mradi wa One 8 amekuwa kimya kwa kipindi cha mwaka mmoja, huku wengi wakitoa sababu kadhaa za kufikirika kuhusu ukimya wake. Tovuti ya Times Fm imeongea na ndugu wa damu wa Ali Kiba, Abul Kiba ambaye mbali na kuwa msanii aliyetambulishwa kwenye game na kaka yake, amekuwa akisaidia kuzifuatilia na kuzisimamia kazi zake. Abdu Kiba...

Matokeo ya kidato cha nne 2013/ 2014 yatangazwa, Ufaulu waongezeka…Bofya hapa ujionee Mwenyewe..!!

Baraza la Mitihani la Tanzania limetangaza matokeo ya kidato cha nne ya mwaka 2013 na kiwango cha ufaulu Kimeongezeka kwa asilimia kati ya 0.61 na 16.72 ukilinganisha na mwaka 2012.    Jumla ya watahiniwa laki 235,227 sawa na asilimia 58.25 ya waliofanya mtihani wamefaulu.     Wanafunzi 74,324 sawa na asilimia 21.09 wamefaulu katika madaraja ya I -III.   Wavulanawaliopata daraja la kwanza (division one) ni 5,030 na wasichana...

Alichokisema Zitto mara baada ya Wajumbe wa Bunge la Katiba Kudai Nyongeza ya Posho na kudai kuwa Tshs. 300,000/= kwa Siku Haiwatoshi.

Ishu ya posho za bunge la katiba ndiyo inayoongelewa sana hivi sasa ambapo pamoja na headlines zote za Wabunge, haya ni mawazo ya Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe kuhusu hii posho. “Naomba niseme wazi kabisa kwamba, sitapokea nyongeza yeyote ya posho hata ikiongezwa. Inaweza isisaidie kuzuia walafi wengine kupata posho kubwa lakini ni bora kuhesabika kwamba nimesema hapana. Ifikie wakati tuseme hapana kwa excesses zisizo na maana. Ninamwomba Rais asikubali...

JAMANI TUE MAKINI..!! MWANAMAMA AJIKUTA AKITOA MACHOZI BAADA YA KUTAPELIWA SH MIL 5.4 HUKO SOMA ZAIDI MKASA HUU HAPA

Mwanamke mmoja ambaye alifahamika kwa jina la Rashushi Amani Shembusho, mkazi wa Pasua, wilaya ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, ametapeliwa kiasi cha shilingi milioni 5.4 na watu wasiojulikana asubuhi ya jana, Februari 20. Bi. Shembusho akilia kwa uchungu baada ya kudangasnywa na watu wawili, wa kike na wakiume ambao majina yao bado hayajafahamika. watu hao walimpeleka katika Hoteli maarufu mjini moshi, Fresh Coach na kumtapeli shilingi milioni 5.4 ambazo alikuwa ametoka kutoa Benki ya Uchumi...

Wednesday, 19 February 2014

KAMA ULIDHANI MCHUMBA WA LULU NI MBABA BASI UMEPOTEA, MCHEKI HAPA NI KIJANA BUT ANA HELA MBAYAAAA

  CREDIT : TUJIAC...

KUDADEKI...!! SHERIA HII INGEKUWA TANZANIA RAHA SANA..!! HII NDIYO HUKUMU KOMESHA KWA WALE WANAOVAA VIMINI NCHINI UGANDA..!!

Rais wa Uganda, Yoweri Museveni, ametia saini sheria mpya inayotoa adhabu kali kwa wanaopatikana na hatia ya kutembea nusu uchi au kuhusika na vitendo vinavyohusisha picha zenye watu uchi. Wanawake pia wamezuiwa kabisa kuvalia sketi fupi sana au 'Mini Skirt' kama zinavyojulikana au blausi ambazo zinaonyesha kifua chao hadharani na kusababisha hisia za kingono . Sheria hiyo inasema kuwa nguo kama hizo zitakubalika tu ikiwa zinatumika kwa ajili...

JAMANI NAOMBA USHAURI,,!! KWA BAHATI MBAYA NILIJIKUTA NAFANYA MAPENZI NA SHEMEJI YANGU...NIFANYEJE.??

Naombeni ushauri wa hali na mali katika hili , Siku kadhaa zilizopita hapa nyumbani kwetu tulifanya sherehe ya birthday ya mtoto wetu kutimiza miaka mitano tuliwaalika ndugu wengi hapa home kwa ajili ya sherehe hiyo, Mgeni mmoja wapo ni mdogo wa mume wangu ambae alikuwa ametoka mkoani so alifikia kwetu, sasa siku ya birthday katika sherehe hiyo tulikunywa sana kila mtu akawa safi mume wangu pombe zilimzidi ilipofika...

BREAKING NEWzz::Lori la Mafuta Lapinduka katika Mlima Sekenke na kuwaka Moto na Kuuwa Watu Wanne Joni yaLeo.

Lori la mafuta limeanguka jioni hii katika eneo la milima ya sekenke mkoani Singida na kuua watu wanne hapohapo.Chanzo cha ajali hiyo ni breki kufeli kukamata wakati lori hilo lilipokuwa linashuka mlima huo.Shuhuda wa ajali hiyo bwana Julius Chacha alipoongea na mtandao wetu wa Dj sek blog amesema kwamba Lori hilo lilipoacha njia lilipinduka na kuingia bondeni na kushika moto.Akiendelea kuongea shuhuda huyo alisema walishindwa kutoa msaada wowote kwa kuwa...

Dijitali yatawala Bungeni kudhibiti ulopokaji Bunge la Katiba..!

BUNGE Maalumu la Katiba, limeanza chini ya mfumo wa kidijitali ambao pamoja na masuala mengine, vipaza sauti vyote viko chini ya udhibiti wa Mwenyekiti hali ambayo haitaruhusu mbunge kuvitumia bila ridhaa ya kiti. Hayo yalifahamika jana bungeni mjini hapa, wakati Sekretarieti ikitoa maelekezo kwa wajumbe kuhusu ukaaji na jiografia ya ukumbi. Aidha wajumbe wamehakikishiwa kuwepo usalama wa kutosha huku wakiambiwa wakubaliane na upekuzi wa hali ya...

MSAMARIA MWEMA KUTOKA UINGEREZA ATUMA MISAADA KWA MAMA WA MAPACHA WA NNE MKOANI MBEYA.

Misaada ya hali na mali imeanza kumiminika kwa ajili ya Aida Nakawala (25) mkaazi wa kijiji cha Chiwanda, Wilaya ya Momba, Mkoa wa Mbeya, ambaye alijifungua watoto wanne mapacha kwa mkupuo (Quadruplets) usiku wa kuamkia Mwaka mpya wa 2014 katika Hospitali ya Wazazi ya META jijini Mbeya.   Msamaria mwema wa Uingereza, Bi Gladness Sariah, ametuma maboksi mawili yenye nguo na vitu kadhaa vya watoto, ambavyo vimewasili salama katika ofisi za Michuzi Media Group (MMG)...

Dully Sykes Afunguka mara baada ya Video ya Nyimbo yake ya ‘Kabinti Spesho’ Kupigwa Marufuku na Serikali.

Baada ya ngoma yake ya Kabinti Spesho ya Staa wa Bongo Fleva,Dully Sykes kufungiwa na serikali kutopingwa kwenye vituo vya televisheni,kutokana na kutokuwa na maadili ya Kitanzania,amesema amekata tamaa ya kuwa msanii wa Kimataifa kutokanana kitendo hicho kumvunja moyo.Kwa mujibu wa msanii huyo amesema hiyo imetokana na serikali kupitia mamlaka ya mawasiliano TCRA kutoa onyo kwa vituo vya televisheni zisiipige video hiyo kutokana na kuvunja maadili hasa...

Kesi ya Kifo cha KANUMBA, LULU Aaanika Mazito….!!

MWANGA umeanza kuonekana juu ya kesi inayomkabili staa wa filamu za Bongo, Elizabeth Michael Kimemeta ‘Lulu’ ya kumuua bila kukusudia staa mwenzake wa muvi, Steven Charles Meshack Kusekwa Kanumba ambapo safari hii aliamua kukiri vipengele kibao, Risasi Mchanganyiko lina habari yote. Akikiri mbele ya Mahakama Kuu ya Tanzania juzi (Jumatatu) wakati kesi hiyo ilipoanza kusikilizwa, nyota huyo aliweka wazi mambo ambayo hapo awali hakuwahi kuyakubali kortini jambo lililovuta...