Thursday, 7 November 2013

stori ya kusikitisha...KWA WEMA WOOTE HUU NILIOMFANYIA HUYU HOUSE GIRL, HII NDIO SHUKRANI YAKE ALIYONIPA.

Ilikuwa miaka kadhaa iliyopita nilipoletewa msichana wa kazi maarufu kama house girl..ukimuangalia kwa sura alionekana mpole na mnyenyekevu.umri wake haukua mdog sana kwani alikuwa na miaka km 20 ivi wkt huo alipofika...alipokuja alionekana wazi kuwa ametoka kwenye familia duni sana kwani hata nguo aliyoivaa ilikuwa imechoka sana....

SOMA HII...MTU MMOJA AZIKWA AKIWA HAI KWA TUHUMA ZA KUMUUA MTOTO WAKE KWA USHIRIKINA HUKO MBEYA

  HILI NI KABURI LA MZEE ALIYEZIKWA AKIWA HAI KABURI HILI LITAFUKULIWA KESHO NA POL...

WAKUBWA TUU...MISS UTALII NA MSANII WA BONGO MOVIE WANASWA WAKISAGANA...TAZAMA PICHA(+18)

    Fathiya" Mrembo wa Facebook" na Suzi Magoti mshiriki kwenye filamua Ngema akimvua nguo mrembo huyo kuanza tendo. Katika hali isiyokuwa ya kawaida na kusikitisha matendo ya aibu kwa wasanii wetu yameendelea kushika kasi kama moto wa tipa baada ya blog hii makini kunasa picha nyingine za wasanii hawa wakusagana live bila chenga.  Tumefanikiwa kupata picha hizi ambazo ni baadhi tu licha ya kwamba kuna CD nzima ya picha hizo tunazo kabatini na kuna taarifa kuwa pia kuna...

Wednesday, 6 November 2013

UJANJA WA DIAMOND NA UZEMBE WA ALI KIBA

  Hata kama sio shabiki wa diamond ila kuna kitu lazima uwe kinakuvutia kutoka kwake.Unaweza kujitahidi kumchukia labda kutokana na skendo zake za nje ya muziki wake ila ukirudi kwenye muziki wake nadhani anastahili kuwa pale alipo. Kuanzia muonekane wake mpaka anavyoweza kuji-brand kimataifa na anavyojua kucheza na akili za mashabiki. Wasanii wengi wa bongo flava wana tabia ya kurithika kwa mafanikio yao ila Diamond toka atoke na Kamwambie mwaka 2009 mpaka 2013 amezidi...

SIMBA YAITANDIKA ASHANTI UTD MABAO 4-2.

Mchezo wa ligi kuu ya Vodacom kati ya Simba na Ashanti UTD umemalizika hivi punde kwa Simba kupata ushindi wa mabao 4-2,mchezo huo ulipigwa kwenye dimba la uwanja wa taifa jijini Dar Es Salaam. mabao ya Simba yamefungwa na Betram Mwombeki ( 2),Hamis Tambwe na Ramadhan Singano wakati yale ya Ashanti Utd yakiwekwa kimiani na Mkongwe Said Maulid na Hussein Sa...

Mwanafunzi aliyabakwa na kupewa mimba aililia Serikali imruhusu kufanya mtihani wa form 4....Adai kuwa Alipata mimba kwa bahati mbaya..!!

Kupitia kipindi cha Wanawake Live kinachorushwa na EATV kila siku ya Jumanne saa tatu usiku, umma wa Watanzania walipata kufahamu kilichomkuta binti Emma Roberts. Kwa kukumbusha tu, Emma ni binti aliyefukuzwa shule kutokana na ujauzito. Ujauzito wa Emma ulikuja baada ya kufanyiwa kitendo cha ukatili cha ubakwaji.&nb...

CHADEMA yapata pigo kufuatia kifo cha Ghafla cha Naibu Meya wake...!!

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepata pigo baada ya Naibu Meya wa Manispaa ya Moshi, mkoani Kilimanjaro, Vicent Remoy, kufariki ghafla jana. Akithibitisha kutokea kwa kifo hicho, Meya wa Manispaa hiyo, Jafary Michael (CHADEMA), alisema Remoy ambaye pia alikuwa ni Diwani wa Kata ya Kiboriloni, zahanati ya Jafary iliyoko katikati ya mji wa Moshi.    “Ni kweli amefariki, na mimi nimepokea taarifa hiyo dakika 30 zilizopita, na kwa mujibu wa taarifa za awali,...

Huddah amfananisha Prezzo na Mbwa jike...Adai umalaya wake umezidi wa Mbwa sana..!!

  X girlfriend wa Prezzo Huddah Monroe amemchafua vibaya mshikaji wake wa zamani  kwa  kumfananisha  na  mbwa  jike  asiyechoka  kuhaha.......

SERIKALI YAKUTANA NA UJUMBE WA SYMBION KUJADILI UJENZI WA KITUO CHA SOKA (SOCCER ACADEMY)

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Bi. Sihaba Nkinga, akisisitiza jambo, leo Novemba 5, 2013, jijini Dar-es-salaam, alipokutana na ujumbe wa kampuni ya Symbion ya Marekani kujadili maandalizi ya ujenzi wa  kituo kikubwa cha maendeleo ya mchezo wa soka nchini (Soccer Academy), ambayo itashirikiana na Club ya Sunderland ya Uingereza katika kuindesha Academy hiyo. Katika mpango  huo, Kampuni ya Symbion pia itajenga viwanja vya michezo (sports courts) eneo...

WASTARA AKERWA NA WATU WANAOFUATILIA UHURU WA MAISHA YAKE

  MSANII wa kike katika filamu za Kibongo, Wastara Juma amewashukia watu wanaotafsiri kila kitu anachokifanya katika maisha yake na kusema: “Yaani nisipige picha nikaweka kwenye mitandao ya kijamii, tayari watu wanasema yao...jamani nami pia ni binadamu....

PICHA ZINATISHA ...AJALI MBAYA YA PIKIPIKI YAUA HUKO MWANZA

Watu wawili wamefariki dunia papo hapo wilayani Bukombe mkoani Geita wakitumia usafiri wa bodaboda kufuatia pikipiki waliyokuwa wakisafiria kuteleza kwenye mchanga ikiwa kwenye mwendo kasi na kisha kukanyagwa vibaya vichwani na gari aina ya Noah ambayo walikuwa wakipishana na...

WAPI TWAELEKEA??PICHA ZINGINE ZA UCHI ZA WAKINADADA ZAVUJA MTANDAONI

Msichana aliyefahamika kwa jina la Eliza akiwa katika picha za utupu alizopiga akiwa Hostel moja iliyopo maeneo yaKinondoni Mkwajuni ijulikanayo kwa jina la Kipep...

...

DIAMOND AKILI KUTO TUMIA KONDOM WAKATI WA KUFANYA MAPENZI KISA ANATAFUTA MTOTO

HUWEZI kumkwepa Diamond katika ulimwengu wa habari! Staa huyo wa muziki wa Bongo Fleva ambaye jina alilopewa na wazazi wake ni Nasibu Abdul, ameibua mengine mapya, akidai hapendi kabisa kutumia kinga awapo farag...